album cover
Hstry
865
Hip-Hop/Rap
Hstry was released on August 13, 2025 by CheusiDawa ENT as a part of the album KitaaREJEX
album cover
Release DateAugust 13, 2025
LabelCheusiDawa ENT
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Credits

PERFORMING ARTISTS
Fid Q
Fid Q
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Fareed Kubanda
Fareed Kubanda
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
International Beatz
International Beatz
Recording Engineer, Mixing Engineer
Abdallah Kibega
Abdallah Kibega
Producer, Mastering Engineer

Lyrics

Ninashindana na niliowa inspire hii ni history/
Ninatisha.. Mie ni mbaya wanaona mistery/
Uwanja ni wangu ninautawala kama referee/
Na Mwanza yangu hakuna fala cheki pedigree..
Njia zangu hawawezi pita.. uliza washikadau
A stu’ can’t fuck with the teacher mimi ninapiga bao/
Wa Q.. kama MDIDI alinivyoniita..ninaikimbiza hii town/
1,2.. 1,2.. Inasikika kwenye spika hii sound/
Yeah yeah yeah yeah..
Long live the idols May they never be your rivals/
Shelf la vitabu wabaki kama Quran au bible/
Ibaki heshima ikiwa wakora watapora title/
Tubaki wazima au Megacy kama Baba Kairo/
Jeshi kwenye lindo/
Fresh kama ule wimbo/
Siku hizi mademu wengi wezi..huniita babes au sex symbol/
Face ya bingo.. mshikadau/
Kwa bed Mandingo.. ninaflex mimi ni kichwa chao/
Huuh..Wanageza maujuzi halafu hawanimwagii sifa/
Wanatamani ningekua mtunzi ambaye hazingatii visa/
Ninapakua mavituz.. hawanipatii picha/
Ninashukuru mke wangu ana sweet tooth na mie ni good-kisser/
Mtaani hali ni mbaya ila tunakaza tu kiubishi/
Siasa zimetufunza kufunga mdomo ili tuishi/
Kukaa kimya.. kunyamaza ni kufanya usaliti/
Unajitoa kwa lipi? Harakati haziuziki.. haki hailipi/
Kinachotupa presha ni pesa na vinavyowafaa huko/
Tunajichekesha badala ya kuweka mikausho/
Ngumu kumeza…tunalegeza kama Gaucho/
Tuna uhuru wa kujieleza.. wa baada ya kujieleza haupo/
Haina kelele.. nikisema wengi wanaelewa/
Wanaofanya kwa uchache.. waniache, wengi hupewa/
Ukichelewa haupati.. ni bahati.. ndwele sio neema/
Kuiona pepo ni lazima udanje na hakuna mchele mchelema
History
History
History
History
History
History
Ninashindana na niliowa inspire hii ni history/
Ninatisha.. Mie ni mbaya wanaona mystery/
Uwanja ni wangu ninautawala kama referee/
Na Mwanza yangu hakuna fala cheki pedigree..
Yes..History ni yetu and is made by us/
Victory kwa clutch.. Mie ni hip hop wanani-trust/
Pasi kapiga pique.. kanipa Fiddy-Butua/
Nina mipira zaidi ya FIFA…mbele ya shakira navua/
2009 mlinipa sifa ya uprofesheno
Mtu wa kumiss misa ila muziki ndio my confessional/
Ninashinda vita.. mnapata picha impressional /
Pisha nikipita au kaba ewe kichwa successional/
Na sitaki washkaji ambao hawathamini tulipotoka/
Wa dizaini hizi huwaga hatuivi.. wananichosha/
Ukipita hivi.. kwa picha hizi wanaogopa/
Rafiki hautaki niwini? Usibaki na mimi ondoka/
Eeh Mungu wakupewa shangwe ni wewe/
Na hawa Miungu-watu wapewe wapambe wanogewe/
I got my drinks and my 2 steps.. nisamehe kwa ubaya/
Hawajui good slave anaweza kuwa bad master kama fire
History
History
History
History
History
History
Written by: Fareed Kubanda
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...