Lyrics

Hook Cheki picha vile zinatambaa tu insta Caption si zikifwatana na sticker Nguo si zinafana na matching sneakers Eti mkinyamaza sisi ndo tunachachisha Niko na mpoa niko na mpoa Niko na, siezi mficha juu ni mpoa niko na Niko na mpoa niko na mpoa Siezi mficha, juu ni mpoaa eeeehhh *2 Harry verse Tunafanya TikTok pamoja, madate nazo tukikula pizza sarova Mamio mio tunapiga dance kuzitoka, hatuna mbio ya kusafishana tukioga Malate night calls, tunalala tu saa nane Mamemes na majokes kutumiana kama chwane Malate night walks, tukichomanga kidale Alafu twa twa, tukifika tu kejani Bro uko wapi, kejani na mpoa Unafanya nini, vitu zangu na mpoa Aki mi nauoa, kwa streets alinitoa Wazidi tu kuroroa cheki hawatatoboa Triand Niko na mpoa yaani niko na mnice Na sisi ndio MA goals tushakafunga alright Ulimshow anisare akaniambia same time Na sisi huwasengenya hio tea Ongeza spice Aki babe unanipenda (ofcouse) Ningekuwa nyuki ungenikiss (ofcouse) Aki babe hutanisare (ofcouse) Aki babe si you come we cuddle (why not) ehh Juu pia Kuna vile umenichizisha pile Mikono tuzishike tuwaboo kwa vile Wanabonga Sana wanyamaze silly Niko na mfiti siwezi kudelay Eeh heeh Mikono juu ka unatafuta mpoa Mikono juu unapendanga wapoa Mikono juu uko na kamtu poa Mwenye anaeza kukachanganya Adi ufeel poa*2
Writer(s): Harry Otieno, Wilson Omondi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out