Lyrics

Baby Black market records Yeah (Baby) cheki Magix (aah) enga on the beat Ati eeh Banjuka ni kama unarusha mamikono eeh Tingisha kichwa chunga usivunje kisogo Eeh teremka teremka ka kono kono Basi ni kionjo twende mamiondoko Eeeh mamio mio mio mio miondoko Eeh mamio mamio mamiondoko Eh mamio mio mio mio miondoko Saa si inadonjo wah ni kumoto Eeeh mamio mio mio mio miondoko Eeh mamio mamio mamiondoko Eh mamio mio mio mio miondoko Saa si inadonjo wah ni kumoto Ati kale kadance cheki kale kadance Kwanza ukiwa kijaba ndo unapewa kichance Slow but sure na ukizitoka unarelax Ru-rusha mikono juu ni kama hujui kudance Ah toa kofia na mkono wa kulia Pa-panguza kihara bas na utoe kijasho Moonlight love kwa jua na mpango wa kando Ndo ndo ndo kicianda mmeitana matando Eeh Mamiondoko mami si poko Ka kuna njoti tunaachana na popcorn Ongeza flow na doh ju tumedonjo Alisema ni fastee but hio ni uongo Si kienyeji huyo dem ni mwitu See through niliacha chuo nipedi P2 Hii tu ndani ya msitu iko na jitu Please tu nimemada Harry washow kitu Eeeh mamio mio mio mio miondoko Eeh mamio mamio mamiondoko Eh mamio mio mio mio miondoko Saa si inadonjo wah ni kumoto Eeeh mamio mio mio mio miondoko Eeh mamio mamio mamiondoko Eh mamio mio mio mio miondoko Saa si inadonjo wah ni kumoto Round za mtaa nikapata Mia Khalifa Mia kadhaa, mami mia akajipa Pale kwa local kwa ile mbogi ya FIFA Teremsha, teremsha angusha ka ka litre Alikula face, girimba alikuja face na rira Na tuko East tuliza venye alifanywa Miondoko lazima ondoka kama umezima Uliza Harry Craze venye alifanya Alichoma mbogi wakadai kuokoka Hapa ka hujui kudance ni urudi kule umetoka Ndani ya club first na wa mwisho kutoka Rombosea boy fisi ni ka kiuno ina motor Oka, one night na mimi unaomoshwa Miondoko funny tu kama kwako umekosha Ukikam bash bila body unaondoka Vunja mifupa miondoko bado stopper Eeeh mamio mio mio mio miondoko Eeh mamio mamio mamiondoko Eh mamio mio mio mio miondoko Saa si inadonjo wah si ni kumoto Eeeh mamio mio mio mio miondoko Eeh mamio mamio mamiondoko Eh mamio mio mio mio miondoko Saa si inadonjo wah si ni kumoto Banjuka ni kama unarusha mamikono, eeh Tingisha kichwa chunga usivunje kisogo Eeh mamio mio mio mio miondoko Mamio mamio mamiondoko Eeh mamiondoko Mamio mio mio mio miondoko ndoko
Writer(s): Harry Otieno, Wilson Omondi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out