Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
FreshBoys
FreshBoys
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Anthony beatus chilemba
Anthony beatus chilemba
Songwriter
David severin madembwe
David severin madembwe
Songwriter
Granton john mwaipopo
Granton john mwaipopo
Songwriter
Moumini Omary Khama
Moumini Omary Khama
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Paul Maker
Paul Maker
Producer

Lyrics

Better bring a couple caskets when I hop on the M.I.C
Hata niki Rap In Peace It's a massacre
Bora Nitangulie kusema R.I.P
And I just Looked into the mirror
The Greatest Of All Time is what I've seen
Vita ni vita Murrah!
Sipo kwenye muda wa kutafuta peace, sisizi Ila naishi ndoto
Kila niki switch flows man I rock on tha beat
Ukishiba usiishiwe njaa ndio kauli mbiu ya street
Ngoja ngoja yaumiza tumbo
Nakusanya maarifa nikijichanganya na watu
Haimaanishi nafwata mkumbo
Rule number moja saka Dusko
Bila mkwanja mapenzi ubandia mjini pesa usilete viuno
Rule number mbili fanya mchujo
Usisahau ulipotoka, jali familia, jijali namba UNO
Maisha ndio haya haya and I go with the flow hakuna mfumo
Kazi kazi sitaki mbwela
Niko mwendo mpelampela
Sitaki ongea nataka action kama Seba
Kauli mbiu ni Kufanya Unachopenda unavyotaka unavyoweza
Believe dat! This is FreshBoys' Era
Sogea anga zetu uone tungo zinavyo tungwa
Sogea anga zetu uone rappers wanakunjwa
Sogea anga zetu huku wanyama wako wanachungwa
Huku mshua jua akivuta jiongeze katafute chumba
Any day from now bitch Yeah! Imma blow
Maji hayarudiki kwenye ndoo
Usidhani kwamba sijaona picha zako
Ambazo umetumia wana ukiji snap kwenye kioo
What you want Uhh!?
Nataka Kua star Uhh shii*
Kila Kona kila mtaa
And you think maybe bila wewe siwezi ng'aa
Na ukipost picha zote yani utupu na haujavaa
Forget it hawana jipya nawapa umeme
Na hizo verse zao ambazo wameziandika kwenye Memes
Ninacho hitaji biki tu madini me niteme
Hawana jipya tu hawa rappers mwanangu niulize me me
Walidhani high school kumbe chinga toka enzi za shule ya msingi
Mwili mdogo ila kichwa ina mambo mingi
Sukuma kete si nataka nije kuwa kingi
Kwa mama the only son so nikaanza kujiona dingi
I've been sonning all the rappers ever since
Kila verse tu ni classic kila ngoma masterpiece
Na mapisi call me papii cause am popping on these beats
Lo siento leta dinero ukitaka nianze kuspit
Uh I've been places we hujawahi fika
Hunijui mwanangu umeziona picha
Kama hauni-feel sio kesi mwanangu chicha
(Fuuck these **** playing with me man)
Ninavyochana kibosi mosi mosi CZK Peter
Sina haraka nishafika wanapotaka fika
Moja moja tunagusa PSG FIFA
Kuwa mpole utapasuka ukija kichwa kichwa
I am god damn! I am feelin kreizy
Bahati mbaya sina story ya mapenzi
Labda nikuelezee me na fresher genge na maisha ya Mbwanga
That's another story bwaga my brother
Kuhusu hizi ladha nilikua jikoni na "ScarTheherbalist"
Mlikua hamuoni sio kua mlikosa mboni
Ila wadudu wa njaa walkua tumboni wanakimbiaa!!
I decided kuhakikisha everything is clear
Keep it one hundred man sipunguzi asilimiaa
Waliomba nipige breki ndo nilipo ongeza gear
Saivi walipokaa me ndo nilipo simamiaa
Oyaaa wee
Thought I told you so
Me mtu pori sitaki mashauri bruh
Bwana mechanical
Came for the Mulla yiee the money hoe
I need my pockets real fat bro en that's the only goal outchea
Ayo we gotta score (Uunnh)
IT AIN'T OVER!
PUT SOME RESPECT WHEN YOU TALK ABOUT THEM FRESHBOYS ****
IT'S A FUCKING STATEMENT DONE!
Written by: Anthony beatus chilemba, David severin madembwe, Granton john mwaipopo, Moumini Omary Khama
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...