album cover
Kiu
748
Hip-Hop/Rap
Kiu was released on August 23, 2023 by IAM Music Ltd as a part of the album Kiu - Single
album cover
Release DateAugust 23, 2023
LabelIAM Music Ltd
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM95

Credits

PERFORMING ARTISTS
FreshBoys
FreshBoys
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Anthony beatus chilemba
Anthony beatus chilemba
Songwriter
David severin madembwe
David severin madembwe
Songwriter
Granton john mwaipopo
Granton john mwaipopo
Songwriter
Moumini Omary Khama
Moumini Omary Khama
Songwriter

Lyrics

Pre Chorus/Intro
Mtaani kuna kiu
Kila mwaka kila day
Na hii ndio kauli mbiu ukitafuta haupotei Wanaomba tusipate tutapata anyway Najua kama ni ngumu ila itabidi tuzoee
Na ndo mana tuna komaa nao
Komaa nao, komaa nao,Komaa nao Tuna komaa nao komaa nao komaa nao Komaa nao
Tuna komaa nao
Komaa nao, komaa nao,Komaa nao Tuna komaa nao komaa nao komaa nao Komaa nao
Verse 1
Skia..
Tumetoka slim fit mpaka sasa tume gain gain heavyweight Hustle mpaka celebrate
Jasho mpaka heavy sense
Kichwa kina stress tuna meditate
Pesa inatutesa tukipata tunavesha na ku medicate
Mtaani maisha magumu na shida nazo haziishi
Kipato kukidhi hitaji ni ndoto maisha ya kibishi
Akili nguvu ni mtaji ukikosa ngoja mazishi
Rafiki yako wa karibu ndo adui siku za dhiki
Verse 2
Dunia duara wahenga hawakukosea
Nilipotoka mbali ndo mana mbele siwezi potea
Tena, nyumbani muda umepita sijatokea
Nishapiga moyo konde naamini tu ntapokea
Uh,right now tunaishi mtaani ka’ Ligi
Siwezi pause me sio maji mtungini
Nahitaji spidi I’m like
Wanaomba ukose ukipata eti utawazidi
Me and ma **** we do hustle this side ndo tunavyobidi
Chorus
Tuna komaa nao
Komaa nao, komaa nao,Komaa nao Tuna komaa nao komaa nao komaa nao Komaa nao
Tuna komaa nao
Komaa nao, komaa nao,Komaa nao Tuna komaa nao komaa nao komaa nao Komaa nao
Verse 3
Yeah..uh
Napambana today iwe bora zaidi ya jana,so tukaze mazee Wanakunja ila Dua halipingwi Allah atasafisha way
So we gon be alright, we gon be OK Fanya unachopenda unavyotaka
Juu tutakutana baada ya dhiki ni faraja Utachelewa ila utafika
Weka nia, fakamia kila mishe we kamia Zikusanye hata kama mia mia jazia KIU kila mwaka kila day
Nikipata hata tone sherehe
Mishe namaliza leo kesho naendelea kukomaa nayo Mbele mimi wao watafwata nyayo
Nipo na nlioanza nao nakomaa nao
Verse 4
Oya weeh!Uh..Jiandae coz we dropping any day
We Made Of Gadaffi wanajua we rapping anyways
Wauni wana KIU kukomaa kukaza msuli hio ndo kauli mbiu Man I’m down with it yes I keep it coming
Tangu nianze kukomaa nao they keep on running
Nahisi washatusoma tunahitaji money
Ganja man yea you know this shi* gon keep on burning Shi* is not nice hichi kichwa namna gani
Wauni wanazurula hawahitaji hata ramani
Najiona ka’ Lunya vitu vingi tu kichwani
Si hatulagi mchana kama ikiwa Ramadhani
Hata nikiwa nimekula uadui hakuna amani
It just got real walidhani kuwa it’s funny
Industry sio kitu bila sisi wanatuhitaji
Sio utani me nakomaa nao hata wangekua majirani
Oya weeh!
Written by: Anthony beatus chilemba, David severin madembwe, Granton john mwaipopo, Moumini Omary Khama
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...