Lyrics

Mmmh Aaaah Kabaya (We go beats mr 808) Kaa' unaweza, leo tunakesha, pass me another Kaa' unaweza, bestie ongeza, nikaa' ni December Kaa' unaweza, leo tunakesha, pass me another Kaa' unaweza, bestie ongeza, nikaa' ni December Kaa' unaweza Nipitie majioni (later) Na staki majirani wanione (mmh) Niko na matiki na kamini Cologne incase nitablaze hadharani Backleft nikizoza na mbogi Topdeck na nimejaza pori Okay mbona unakaa lonely? Shika tako na u-control slowly (yea) Slowly I know you know me Waa huniita Kabaya one 'en only Mbona umejifunga? Toa koti (aah) Pewa maji lakini sio holy Tiktok tiki-tiki-tok aah Ingiza wee wacha small talk Big bum utapenda backshots Wee Vosti ebu ongeza shots Kaa' unaweza, leo tunakesha, pass me another Kaa' unaweza, bestie ongeza, nikaa' ni December Kaa' unaweza, leo tunakesha, pass me another (haha) Kaa' unaweza, bestie ongeza (Okwonkwo) nikaa' ni December Kaa' unaweza Me hukuwa nmekunoki nikifantasize wee ni mnaughty Na hio toungue ring, njoti Napenda hio tatto kwa paja Na ukipiga makofi na haga Come ivi nikupeleke warosho Tuchome kishash, kolombo Dim lights, tuingie vibe Aah nataka nikulambe shingo Alafu, niteremke kwa kiuno Nikulambe katikati ya mgongo Aah babie, no rush Nikimaliza si utasplash (aah) Splash (aah) splash (aah) Chafua bedsheets, usiworry Kesho nitazipeleka dobi (haha) Kaa' unaweza, leo tunakesha, pass me another Kaa' unaweza, bestie ongeza, nikaa' ni December Kaa' unaweza, leo tunakesha, pass me another Kaa' unaweza, bestie ongeza, nikaa' ni December Kaa' unaweza, leo tunakesha, pass me another Kaa' unaweza, bestie ongeza, nikaa' ni December Kaa' unaweza, leo tunakesha, pass me another Kaa' unaweza, bestie ongeza, nikaa' ni December Kaa' unaweza Kaa' unaweza Kaa' unaweza Kaa' unaweza
Writer(s): Mitchelle Wambui Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out