album cover
Mringishie
15
New Age
Mringishie was released on November 9, 2023 by Hakika Studios as a part of the album Mringishie - Single
album cover
Release DateNovember 9, 2023
LabelHakika Studios
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM140

Credits

PERFORMING ARTISTS
Miro Tz
Miro Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Miraji mtawazi
Miraji mtawazi
Songwriter

Lyrics

We kama sasa amekuwa wako mringishie ex wake ashike adabu mringishie ex wakee.
We kama sasa amekuwa wako mringishie ex wake ashike adubu.
Mrii mrii mrii rii
Hhhee!
Adasco nakutaja humu ndani,
O my g
Sialikuonaaaa falaa aaha
Et kwake haumfa,
Mukiwa geto kama jelaa aaha
Hakuna hata kuinjoy,
Umempataaaa stara
aha,
Kwakeee hakuna kitu unadai,
Na wala haumti hasara
aha ,
Hutaki anune na haumboi,
We mringishie ex wako hakuiona faida yako,
Etimu mafunzo yako umetulia darasani kwako,
We kama sasa amekuwa wako mringishie ex wake, ashike adabu mringishie ex wake!
Awe na aibu mringishie ex wake,
We kama sasa amekuwa wako mringishie ex wake, anhaaa aah!! ashike adabu mringishie ex wake,
Eeh ex wake oh wake,
We kama sasa amekuwa wako
Mringishie ex wake,
Ashike adabu mringishie ex wake,
Aaha ex wake aah mringishie,
Ushatoka kwenye majozi iyache bia sa ipande kichwan,
Stress zanini alikuona huna thamani,
Dharau dharau kwa mashosti na majirani,
Analeta udugu we kwako amesahau nini,
oh ex wangu nilikupenda mwenzangu,
Umeuvua utu wangu mbele ya mashoga zangu,
We mringishie ex wako hakuiona faida yako,
Etimu mafunzo yako umetulia darasani kwako,
We kama sasa amekuwa wako mringishie ex wake, ashike adabu mringishie ex wake,
Awe na aibu mringishie ex wake,
We kama sasa amekuwa wako mringishie ex wake,
ashike adabu mringishie ex wake,
We kama sasa amekuwa wako mringishie ex wake, ashike adubu,
Mringishie ex wake,
We kama sasa amekuwa wako mringishie ex wake,
ashike adubu,
Mringishieee ex wake,
O my g
Adasco,
Twendeee tuone
Written by: Miraji mtawazi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...