album cover
Ananiumiza
7
Country
Ananiumiza was released on May 17, 2026 by Hakika Studios as a part of the album Ananiumiza - Single
album cover
Release DateMay 17, 2026
LabelHakika Studios
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM150

Credits

PERFORMING ARTISTS
Miro Tz
Miro Tz
Performer
Jay Stereo
Jay Stereo
Classical Guitar, Bass Guitar, Acoustic Guitar, Electric Guitar
Janta it's young beat boy
Janta it's young beat boy
DJ
COMPOSITION & LYRICS
Hakika Studios
Hakika Studios
Composer
Miraji mtawazi
Miraji mtawazi
Lyrics
Janta it's young beat boy
Janta it's young beat boy
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Jay Stereo
Jay Stereo
Mixing Engineer

Lyrics

Nimempa muda achague anachotaka
Kwangu alikuta uwanja ye alihitaji kichaka
Chakujificha afanye aliyotaka na mpenzi wake mwenyewe
Mi nilimfuta machozi aliyodondosha kwangu kosa Ndio kosa kwake kosa sio kosa
Hakuridhika na changu nilichompa kaikata kamba ya milele
Eeeeh mapenzi yanauwa vibaya Ilo mimi nimesibitisha
Mwenzangu kaniacha Kwa ubaya malaika wa mazambi ataandika
Kiukweli nimekuwa m'baya kiufupi nimekongoroka
Mwenzangu kayaona mabaya
Yangu mazuri hajayakumbuka
Ananiumiza Ananiumiza
Ananiumiza Ananiumiza
Oooooh oooh ooooooo
Niseme nimwage sifa zake sitomalizaaa ohoo hoo hoo
Ila maumivu yake yeye Ndio yanayoniliza ohoo hoo
Hata Kwa wazazi wake mi mambo yalipitilizaaaa
Nilifanya mengi mazuri hakuniuliza
Nilikuwa na nizam zam zam zam ukinieleza
Nilikubali kuwa mjinga japo unanididimiza
Kiukweli nimekuwa m'baya kiufupi nimekongoroka
Mwenzangu kayaona mabaya
Yangu mazuri hajayakumbuka
Ananiumiza Ananiumiza
Ananiumiza Ananiumiza
Ana yeye ye yeye
Written by: Hakika Studios, Miraji mtawazi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...