Music Video

Harmonize - Sijui (Official Lyrics Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Ibrahim Abdukahali
Rajabu Ibrahim Abdukahali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
B boy Beats
B boy Beats
Producer

Lyrics

Konde boy call me number one Bakhresaaa Mmmh Picha na tattoo nitazifuta na kama pesa nitatafuta Vipi kuhusu upendo wangu wa dhati Wambea kama nawaona wakinisuta kiko wapi yamemkuta Pindi nitakapokuwa sio tena wako wa dhati (Mmmh) Mapenzii wanaosema mapenzi yamezaliwa tanga Nahisi wanakosea babe wangu wanamuonea (Babe) Taratibu macho fumba sikio la kushoto funga nibakishie la kulia Kuna kitu nataka kukuambia nisikilize wakunyumba mimi mwenzako Nikipata mavumba nitakuja kukuchumbua tutengeneze familia (Me na wewe) Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani oouh no no (Nasema sijui iih) Mfano naweza namuachia nani (Yeyeyee) Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani (Sijui kama ntaweeeza) Mfano naweza namuachia nani (Iih iiih iiiih) It feels like am falling love for the first time Am never seen love this before yes for sure (Mmmh) Yupo wapi yupo wapi mzuri wakumshinda babe wangu yuko wapi Ooh yupo wapi anaejua thamani ya pendo langu yupo wapi Nauliza yupo wapi ama mimi nimeshadate na wangapi yupo wapi Ooh yupo wapi yupo wapi nimuone anaenijua mimi hakuna Wengi wanakuja kunichuna wakijua kwamba pesa hakuna Mara watanuna na kisa hakuna mape mapeenzi Mapenzii wanaosema mapenzi yamezaliwa tanga Nahisi wanakosea babe wangu wanamuonea (Babe) Taratibu macho fumba sikio la kushoto funga nibakishie la kulia Kuna kitu nataka kukuambia nisikilize wakunyumba mimi mwenzako Nikipata mavumba nitakuja kukuchumbua tutengeneze familia (Me na wewe) Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani oouh no no (Nasema sijui iih) Mfano naweza namuachia nani (Yeyeyee) Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani (Sijui kama ntaweeeza) Mfano naweza namuachia nani (Iih iiih iiiih) It feels like am falling love for the first time Am never seen love this before yes for sure
Writer(s): Rajabu Ibrahim Abdukahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out