Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Omary Ally
Omary Ally
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Rr
Rr
Producer

Lyrics

Its Bonga...
(Verse 1:)
Mmmmh
Hivi kweli yupo mwenye Roho mbaya kukushinda
Maana me sijaona duniani
Hivi kweli yupo aso na haya kukushinda
Maana mie sijaona... sijaona...
We mtu gani uko radhi mwenzako ateketee
Wakati unajua dawa yake kumponya nihurumie
Ama mtu gani aliefika akaongeza makeke
Na wakati anajua me kwako ndo napona Anihurumie
Me najua mapenzi sio kwichikwichi tu
Yanayonogaga mazoea nimekuzoea
Mmmh mmmh!
(Chorus:)
Unanionea mwenzako siwezi matukio Mazito
Unanionea,unayonipiga mieeeeh!
Unanionea.unafanya Niamini mapenzi mabaya
Unanionea.lolooooo mmmmh!
(Instruments:)
(Verse 2:)
Na kama kuachana nimekubali sawa fanya yako
Ila sio lazima unioneshe uniumizeee!
Au kisa unajua unaniacha bado nakuhitaji
Ndo unaona bora unikomeshe unilizeeeh!
Aaah poapoa nishajua vya utamu vinakuaga vya uchungu
Ili doadoa Milima haikutani
Japo najuaa mapenzi sio kwichikwichi tu
Yanayonogaga mazoea nimekuzoea
Mmmh mmmh!
(Chorus:)
Unanionea mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea.unayonipiga miee eeeh
Unanionea.unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea.lolooo unanionea!
Unanionea bure eeeh!
Lolooo!
Hata Bonga anajua unanionea
Chino anajua unanionea!
Written by: Omary Ally
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...