album cover
Niko Bize
album cover
Niko Bize was released on December 3, 2023 by Fe Tanzania as a part of the album Niko Bize - Single
December 3, 2023
LabelFe Tanzania
BPM111
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Niko bize ila sio kwa mpenzi wangu
Mi jeuri ila sio kwa baby wangu
Huwa sijibu meseji ila sio za my wangu
Nikikubluetick nipotezee
[Verse 2]
Mi mwenyewe kwenye mapenzi sio mshamba
Nishawahi acha ila kupenda ndo najua sana (mmh)
[PreChorus]
Mi ni mpenzi wa mtu (Ahaa)
Mtu mwenyewe jitu (Ahaa)
Yaani kubwa na nusu
Tutaja kupigana kareti
[Chorus]
Cheza na Mimi usicheze na huyu wangu
Mi ndo najua nilivyo mpata kwa uchungu
Sina mwingine yeye ndo roho yangu
Mi ndo najua nilivyompata kwa uchungu
[Verse 3]
Namuomba Mungu mpenzi wangu afanikiwe
Namuombea maisha marefu
Namuomba Mungu tunayopanga na yatimie eeh (Aamen)
Majumba na magari ni vitu vya kupitia
[Verse 4]
Basi vikipita vipitie na kwetu
Mi mwenyewe kwenye mapenzi sio mshamba
Nishawahi acha ila kupenda ndo najua sana (mmh)
[Refrain]
Mi ni mpenzi wa mtu (Ahaa)
Mtu mwenyewe jitu (Ahaa)
Yaani kubwa na nusu
Tutaja kupigana kareti
[Chorus]
Cheza na Mimi usicheze na huyu wangu
Mi ndo najua nilivyo mpata kwa uchungu
Sina mwingine yeye ndo roho yangu
Mi ndo najua nilivyompata kwa uchungu
Written by: Ramadhan Daniel, Zulfa Mohamed Ibrahim
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...