album cover
Shemeji
album cover
00:00
00:05
00:15
00:20
00:30
01:00
02:05
02:10
02:20
02:25
02:40
00:00
03:02
Past 7 Days
Shemeji was discovered most frequently at around 15 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Naitwa Xouh
The Sound
Ohh, Kutoka Black and White
Mmh mi nachekaga Tu
Shemeji we nataka nikupe namba
Ila iwe siri yako usiende huko kutamba
Ooh ah Shemeji we
Naongopa kupigwa panga
Japo kwenye fridge langu ukiweka kitu inaganda
Aah shemeji we nataka iwe siri
Tena ikibidi namba yanguikariri
Aah, Ooh shem huu mtego sio siri
Haya nipige ipi maana una laini mbili
Kweli unataka nipige ama shem unanichota
We kama unapiga piga huyo mwenzako hana vocha
Eeeh mimi nataka nipige Ila nahisi unanichota
We kama unapiga piga huyo mwenzako hana vocha
Shemeji nitaipiga, Ipige
Nitaipiga, Nataka uipige
Shemeji nitaipiga, Yaani uipige mpaka ichanganyikiwe
Nitaipiga
Shemeji namba yangu mi imeanzia sifuri
Mi nakupa hakukisha unaipiga vizuri
Shemeji mi mwalimu wa math
Namba ndo nazijuwa vizuri
Ukinisusia kombe nikalipiga linakua bakuli
Sipendi kutoa namba alafu mtu asipige
Kama utaleta huo ushamba hapa kwangu usije
Usiombe ukanipa namba yenye kitobo
Mi kucheza na sifuri mambo madogo
Mshemeji usijichanganye ukanipa kisogo
Nikikosa namba kubwa napiga ndogo
Kweli unataka nipige ama shem unanichota
We kama unapiga piga huyo mwenzako hana vocha
Eeeh mimi nataka nipige Ila nahisi unanichota
We kama unapiga piga huyo mwenzako hana vocha
Shemeji nitaipiga, Ipige
Nitaipiga, Nataka uipige
Shemeji nitaipiga, Yaani uipige mpaka ichanganyikiwe
Nitaipiga
Written by: Ramadhan Daniel

Loading...