album cover
Amen
album cover
00:00
00:10
00:15
00:20
00:25
00:35
00:40
00:55
01:00
01:10
01:15
01:35
01:45
01:50
01:55
02:15
02:20
02:30
02:55
03:10
03:25
03:30
00:00
03:49
Past 7 Days
Amen was discovered most frequently at around 55 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Ninayo sababu kusimama mbele za watu
Kwa ujasiri, mmh
Niziseme shuhuda zako Bwana wangu
Jinsi we ulivyo nisitiri
[Verse 2]
Nakama ungeniacha mi nisingeweza
Ningeli angamia, angamia
Kwa nehema yako nimeweza
Maana umenisimamia, simamia
[PreChorus]
Najitabiria
Mabaya yote hayana nafasi
Kwa jina la Yesu, ninakiri
Kupokea ushindi
[Chorus]
Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
Nikitamka (Amen)
Vinatimia (Amen)
Sawa sawa na kusudi lako
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya Yesu (Amen)
[Verse 3]
Kama ni mali fedha na dhahabu mimi (Nitavipata tu)
Ambavyo wazazi wangu hawakuvipata (Nitavipata tu)
Kuongezeka imani niyashinde majaribu (Nitafanikiwa)
Kuuishi utakatifu niione mbingu (Nitafanikiwa)
[Verse 4]
Najua hali ngumu
Zinakikomo, sizakudumu
Ila neno la Mungu
Na mipango yake
Inadumu milele
[PreChorus]
Najitabiria
Mabaya yote hayana nafasi
Kwa jina la Yesu, ninakiri
Kupokea ushindi
[Chorus]
Umo uwezo kinywani mwangu (Amen)
Nikitamka (Amen)
Vinatimia (Amen)
Sawa sawa na kusudi lako
Atakama sioni dalili (Amen)
Nina imani nawe (Amen)
Utafanya Yesu (Amen)
Written by: Mathias Walichupa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...