Credits

PERFORMING ARTISTS
Sauti Sol
Sauti Sol
Ensemble
COMPOSITION & LYRICS
Bien Aime Alusa
Bien Aime Alusa
Composer
Polycarp Ochieng Otieno
Polycarp Ochieng Otieno
Composer
Willis Austin Chimano
Willis Austin Chimano
Composer
Delvin Savara Mudigi
Delvin Savara Mudigi
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Wawesh
Wawesh
Producer

Lyrics

[Chorus]
Soma somasoma, kijana
Masiku zazidi badilika, kijana
Soma somasoma, kijana
Masiku zazidi badilika, kijana
Wazuri wazidi kuzaliwa, na dunia
Nayo yazidi haribika, kijana
Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia
Nayo yazidi haribika, kijana
[Verse 1]
Maisha ya TV, tutaishi sisi
Wengi wanapotea, wengi wakata tamaa
Twachuna riba vijana, juu ya vile tutang'aa
Ajuaye Rabana, ndiye atuongoza
[Chorus]
Aah kijana
Masiku zazidi badilika, kijana
Soma somasoma, kijana
Masiku zazidi badilika, kijana
Wazuri wazidi kuzaliwa, na dunia
Nayo yazidi haribika, kijana
Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia
Nayo yazidi haribika, kijana
[Chorus]
Soma somasoma, kijana
Masiku zazidi badilika
Soma somasoma, kijana
Masiku zazidi badilika
Wazuri wazidi kuzaliwa, na dunia
Nayo yazidi haribika
Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia
Nayo yazidi haribika, soma
[Chorus]
Soma somasoma, kijana
Masiku zazidi badilika
Soma somasoma, kijana
Masiku zazidi badilika
Wazuri wazidi kuzaliwa, na dunia
Nayo yazidi haribika
Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia
Nayo yazidi haribika, soma
[Outro]
Soma
Soma
Soma
Soma
Soma
Soma
Soma
Soma
Soma
Soma
Reead
Written by: Bien Aime Alusa, Delvin Savara Mudigi, Polycarp Ochieng Otieno, Willis Austin Chimano
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...