Music Video

MERCY MASIKA - NIVUTE {DRAW ME CLOSE}
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mercy M Masika
Mercy M Masika
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mercy M Masika
Mercy M Masika
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Timothy Boikwa
Timothy Boikwa
Producer

Lyrics

Nmeishi kwa nyumba yako, oh Miaka mingi Lakini sasa nataka kwako, oh Kusongea zaidi Upendayo nami nipende Sauti nifahamu zaidi Nione kama uonavyo We-eiwe Upendayo nami nipende Sauti nifahamu zaidi Nione kama uonavyo We-eiwe (Nivute) nivute eiye Baba karibu na wewe Naulenga moyo wako Baba kama Daudi (oh-ooh) Njia zangu maisha yangu Yalingane na neno lako (Yalingane na neno lako) Njia zangu maisha yangu, yakupendeze Oh-oh Nimeamua maisha yangu Kwa utukufu wako Yesu ukiwa nami Oh wanibadilisha Kama samaki ahitaji maji Ndivyo nakuhitaji Wewe ndiwe lengo langu We-eiwe Kama samaki ahitaji maji Ndivyo nakuhitaji Wewe ndiwe lengo langu We-eiwe (Nivute) nivute eiye Baba karibu na wewe (karibu na wewe) Naulenga moyo wako Baba kama Daudi (njia zangu) Njia zangu maisha yangu Yalingane na neno lako Njia zangu maisha yangu, yakupendeze Nivute eiye Baba karibu na wewe Naulenga moyo wako Baba kama daudi Njia zangu maisha yangu Yalingane na neno lako (oh yea yea yea) Njia zangu maisha yangu, yakupendeze (Oh nivute) nivute eiye Baba (Oh nivute) karibu na wewe Naulenga moyo wako Baba kama daudi Njia zangu (njia zangu) Maisha yangu (njia zangu) Yalingane na neno lako (oh-ooh) Njia zangu maisha yangu, yakupendeze we, oh-oh Ooh nivute, nivute Nivute baba, nivute Nivute karibu na wewe eeh
Writer(s): Mercy Masika, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out