album cover
Furahi
album cover
Furahi was released on January 19, 2024 by DULLA MAKABILA ENT as a part of the album Furahi - Single
January 19, 2024
LabelDULLA MAKABILA ENT
LanguageEnglish
BPM153
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Oh-oh, oh, oh, oh
Oh-oh, oh, oh, oh
Oh-oh, oh, oh, oh
Mm, mmm, mmm
We furahi
(?)
Kwanza najua ulinipenda ulimbukeni wa umaarufu, ndio sababu ukaniacha
Ukimcheki Wolper na Uwoya, ukaona tamthilia ka zina kuchelewesha
Kumbuka ile siku ulitaka penzi, ukanikazia, kisa laki nane, nami si kukukatalia
Ukasema nikutumie kwanza ndio mzuka nitakao kugea
Yaani tupo ndani ya ndoa ila bado ulinidangia
Nami sishangai njia ndio inavyokuwa, umeniacha mimi, Mzungu amekuvutia
Mpende baba wa watu ana ugonjwa wa kuzimia
Ukileta manjegeka, utapewa kesi ya kuua
We furahi, nimekuacha, furahi
We furahi, nimekushindwa, furahi tu
We furahi, Twiga wa Chamazi, furahi
We furahi, mwenyewe umepata Mzungu, furahi tu
Ila wasanii wenzangu, maua yao wapewe, walivyo sherekea kama sio wao
Hongera walizotoa kwangu na kwa Mzungu vile vile, unafiki upo ndani ya mifupa yao
Kila siku kuolewa, kuachika, nakuomba utulie
Mimi si ulininywea P2?, basi huyo Mzungu, mzalie
Na ile tabia ya kupenda ku-trend, ungebadilika
Yaani mambo ya chumbani, kwa Lokole yashafika, na ile siri yetu mpaka leo mi nimeificha
Nawe jitahidi Mzungu asijue kama hujui kupika
We furahi, nimekuacha, furahi
We furahi, nimekushindwa, furahi tu
We furahi, Twiga wa Chamazi, furahi
We furahi, mwenyewe umepata Mzungu, furahi tu
Gs Music
Monster like a monster and this is a good monster
Written by: Abdallah Ahmed
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...