album cover
SOBIBO
10,831
Afro-Beat
SOBIBO was released on July 18, 2025 by BW as a part of the album SOBIBO - Single
album cover
Release DateJuly 18, 2025
LabelBW
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM160

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kontawa
Kontawa
Choir
COMPOSITION & LYRICS
Abdu Hamid
Abdu Hamid
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Kontawa
Kontawa
Cover Art

Lyrics

[Verse 1]
Oya kuna mtaa uku jela unapata zigo
Ukiwa na laki na nusu tu unauziwa figo
Watu wana roho za kolosho mtaa au uko mabibo
Haiya huo mtaa unaitwa Sobibo
[Verse 2]
Swahilini typical chips unapewa bure unauziwa kachumbari
Oya hakuna afadhali
Mgonjwa ndio anaye umwa ana bembelezwa dakitari
Watu na mambo ya kishamba
[Verse 3]
Jitu lizima kijiweni linashindana kuchamba
Ukiwa na buku tena madem wanakuona danga
Mtu ana nyota ya Simba unakuta anshabikia Yanga
Pakipikwa wali maharage watoto ndio wandenda kuoga
[Verse 4]
Ni kawaida sana kipofu kuendesha bodaboda
Mchungaji naimba kwa mganga wanashindana kuroga
Na ndio maana bibi yangu aliniambia jambo moja
[Chorus]
Ukitaka kutoboa
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
[Chorus]
Ukitaka kutoboa
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
[Verse 5]
Sikia mwana kashika panga mtaa mzima hapa karibu
Kamkata mke wake kisa chumbani hakatiki
Yalomkuta sheki langu hataki tena urafiki
Ali yuda anasema mtaa masnitchi
[Verse 6]
Hili Mungu sio Asumani asumani anatokea Sobibo
Alikua mchezaji tena bingwa wa kudribble
Asumani mtu wa mishe misheni zake impossible
Alikua anakunya soda bila kufungua kizibo
[Verse 7]
Oya washikaji sio tu wachezaji
Huko ni marefa uwanjani wanpeangwa kadi
Oya washikaji washikaji mradi wa maji tumepata umesombwa na maji
Sobibo ooh
[Verse 8]
Pakipikwa wali maharage watoto ndio wanaenda kuoga
Ni kawaida sana kipofu kuendesha bodaboda
Mchungaji naimba kwa mganga wanashindana kuroga
Na ndio maana bibi yangu aliniambia jambo moja
[Chorus]
Ukitaka kutoboa
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
[Chorus]
Ukitaka kutoboa
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
Escape from Sobibo
[Outro]
Sobibo no fake life
No kuigiza
Dada mwenye umeme nakulanga kwenye nyumba cha kiza
Sobibo no fake life
No kuigiza
Mtu asiochiti mimi na mimi mwenyewe naigiza
Written by: Abdu Hamid
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...