album cover
Sawa
128
Pop
Sawa was released on February 2, 2024 by Ambi Music as a part of the album Sawa - Single
album cover
Release DateFebruary 2, 2024
LabelAmbi Music
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ambi Music
Ambi Music
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mohamed Rajab
Mohamed Rajab
Songwriter

Lyrics

Mpenzii me nataka nikueleze, Nakupenda sanaa tena moyoni we umenijaa mama
penzii menataka nikolezee kuleza sana aa me mwenzako yameshanijaa mahaba
Penzi liwe sukari ni lambe sana nikolee
Nifanye niwe hodari mkufunzi ni bobee
Nasema asante wa ubani oo ( Rabeka) aaah
Penzi lifunge kamba kibanio ( Swadakta)
Hata waseme nini mama sawa tuu!
Ndo hivyo tushapendana sawa tuu!
Mimi kwako ni nyang’a nyang’a sawa tu!
Kama kuku kidali nyama sawa tuu!
Colous
Hata tulale njaa sio shida zetu
Maneno ya nini sio shida zetu
Tule ugali dagaa sio shida zetu
Hata tulale chini sio shida zetu
Mbona tumetuliaa! Sio shida
Wanaotufuatilia sio shida zetu!
Watakoma lini sio shida zetu!
Wanoko haoo.
Vers 2
Nakuraasa za magazeti waandikee
Kwa penzi letuu mitandaoo ichafukee
Funga kitasaa na wengine wasipitee
Nifanye special, so special ya kwangu pekee!
Shiiiii
Ndindi umenjaza makopa
So fresh so nice ni shikopa
Nko double na penzi sjakopa
Mavyeo nakupa manyota.
Bridge
Hata waseme nini mama sawa tuu!
Ndo hivyo tushapendana sawa tuu!
Mimi kwako ni nyang’a nyang’a sawa tu!
Kama kuku kidali nyama sawa tuu!
Colous
Hata tulale njaa sio shida zetu
Maneno ya nini sio shida zetu
Tule ugali dagaa sio shida zetu
Hata tulale chini sio shida zetu
Mbona tumetuliaa! Sio shida
Wanaotufuatilia sio shida zetu!
Watakoma lini sio shida zetu!
Wanoko haoo.
Written by: Mohamed Rajab
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...