album cover
Sisi
album cover
Sisi was released on February 14, 2024 by Ambi Music as a part of the album Sisi - Single
ReleasedFebruary 14, 2024
LabelAmbi Music
LanguageEnglish
BPM96
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

i dedicat this song to you babe!
Mgoosii
Hadithi hadithi nataka kuisimuliaa (OOOOH)
Muandisi mfanisi kwake sijiwezi nakaribia kujifia (MMMMH)
Kuna siri nzito kwenye moyo Wangu uuu nataka kuzitoaa
Napitia mazito kwenye penzi langu uu natamani kuhadithia oonaa
Ati napelekwa puta hili penzi mafutaa nataka sema na moyo wanguu babyiiii
Ati ni sisi haoo tunavyopendana nyie wenyewe mnaona
Ati ni sisi haoo tunavyopendana nyie wenyewe mnaona
Baridi oooh baridi ndo zamu yangu sasa yakujilia (eeeeh)
Ua ridi oooh ua ridi kuku wangu wa pasaka usije ukakimbiaa.
mmmh ee I L V O U Nakupendaa je t\'aime mon ami (mmmh)
Kuna siri nzito kwenye moyo Wangu uuu nataka kuzitoaa
Napitia mazito kwenye penzi langu uu natamani kuhadithia oonaa
Ati napelekwa puta hili penzi mafutaa nataka sema na moyo wanguu babyiiii
Ati ni sisi haoo tunavyopendana nyie wenyewe mnaona
Ati ni sisi haoo tunavyopendana nyie wenyewe mnaona
I L V O U Nakupendaa je t\'aime mon ami
Written by: Mohamed Mohamed

Loading...