album cover
Dear X
15,039
Afro-Pop
Dear X was released on February 23, 2024 by Ziiki Media as a part of the album Grace
album cover
AlbumGrace
Release DateFebruary 23, 2024
LabelZiiki Media
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM96

Lyrics

[Verse 1]
Siku zinasonga, na uzee unaingia
Hali inazidi kuwa ngumu
Yani leo, heri jana
Na tamaa
Nahisi ka naikata
Maana subira heri
Nimeshindwa kuivuta
[PreChorus]
Kwa haya mapenzi
Nishatafuta kila chochoro
Wa kuwa naye
Ila ndo maana sijamuona
Sijihisi mwenye bahati
Maana kila nayekutana na yeye
Mie kabisa hatuendani
Kweli ujana maji ya moto
Nakumbuka kuna mademu walionipenda wakati ule
Ila niliwachezea
Pengine ndo karma hiyo
Yamenikuta taswira nikivuta
[Chorus]
Mmh, I remember you
I remember you
I remember you
I remember you
Dear ex
[Verse 2]
Hii dunia, wazuri sio wengi
Ila kama ni uzuri wa sura na fedha zipo kupindukia
Ukipata anayekufaa
Ulinde na ulinzi wa benki
Usiendeshwe na dunia
Imejaa uongo na utapeli
[Verse 3]
Ukipata demu anayekupenda
Pendana naye
Mama ukipendwa tulia uolewe
Hii dunia ukiwa mshamba wa hela utaizunguka
Maana kila kitu huisha, pesa huisha
Urembo huisha, figa huisha
Utachobakiza ni moyo, unayemjua Mungu
[Verse 4]
Asiyemjua Mungu haezi yajua mapenzi
Asiyejua mapenzi hayajui utu
Mapenzi ya kweli hayahongeki
Na furaha ya kweli haigharimu chochote
[PreChorus]
Kwa haya mapenzi
Nishatafuta kila chochoro
Wa kuwa naye
Ila ndo maana sijamuona
Sijihisi mwenye bahati
Maana kila nayekutana na yeye
Mie kabisa hatuendani
Kweli ujana maji ya moto
Nakumbuka kuna mademu walionipenda wakati ule
Ila niliwachezea
Pengine ndo karma hiyo
Yamenikuta taswira nikivuta
[Chorus]
Mmh, I remember you
I remember you
I remember you
I remember you
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...