Lyrics

Iyo yo yo yo yo yo Iyo yo yo yo yo Iyo yo yo yo yo Yo yo yo yo yo Usi complicate mambo Weka feelings zako kando Tulifanya hivyo jana Hakuna kitu tuliagana Hizi ni gani umeanza unanihanda unanifuata Nilidhania twajibamba Hisia zako zikakupanda Ole ole wako Kupendana na wewe hiyo vako We ni we ni We ni sample Ligi yangu hujafika bado Kila mtu na wake Mi niko sawa kivyangu Kila mtu na wake Mi niko sawa kivyangu Niko sawa Single na niko sawa Niko sawa Single na niko sawa Niko sawa Single na niko sawa Niko Sawa sawa Moyo wangu uliugua sana Mapenzi ikanitesa Nikaamua nijipende kwanza Nijitilie pamba Kucha kwa mkono na miguu Tia marashi Jipeleke party Hii February sina mtu Sipati maua sipati kitu Pole pole kwako Najipenda nakueka kando We ni we ni We ni sample Ligi yangu hujafika bado Kila mtu na wake Mi niko sawa kivyangu Kila mtu na wake Mi niko sawa kivyangu Niko sawa Single na niko sawa Niko sawa Single na niko sawa Niko sawa Single na niko sawa Niko sawa Sawa Ayeyeyeyeyeyeye Ayeyeyeyeyeye Ayeyeyeyeyeye Yeyeyeye Yeyeyeye
Writer(s): Eugine Simon Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out