Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
We are Nubia
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Peter Tole
Songwriter
Gloria Mose Munga
Songwriter
Margaret Atieno Okoth
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Petrooz
Producer
Lyrics
Verse 1 :
Nitaita umati
na wanahabari
Tuchapishwe hadi kwenye magazeti
Wajue ni ye ye ye ye nimependa
Kijana mtanashati
Haongozwi na hamaki
Ashakubalika huku kwetu kwa wazazi
Washajua ni ye ye ye ye
Nimependa
Pre- chorus:
Akona ujuzi anachonipa sitosheki najipata narudi
(Ninamwandalia nampakulia )
Kwake Sina budi bali kumpenda bila budi nimetosheka
(Bali nimependa nimependa)
Chorus:
Mimi nikipenda nimependa
Nampatia mapenzi ya sinema
Nimo na uhuru ndani ya gereza
Tupendane hadi kwa jeneza
Iyo iyo iyo iyo yo
Iyo iyo iyo iyo yo
Iyo iyo iyo iyo yo
Verse 2:
Kwa ukurasa wa pili ni ye ananimiliki
Siwezi ngoja firimbi nimuonyeshe jinsi ninavyompenda
Januari to Disemba
Hadi mwisho wa kalenda
Nionyeshe njia nijue zako nia
Tutaenda hadi Ng\'iyaaaaaa
Pre- chorus:
Akona ujuzi anachonipa sitosheki najipata narudi
(Ninamwandalia nampakulia )
Kwake Sina budi bali kumpenda bila budi nimetosheka
(Bali nimependa nimependa)
Chorus:
Mimi nikipenda nimependa
Nampatia mapenzi ya sinema
Nimo na uhuru ndani ya gereza
Tupendane hadi kwa jeneza
Iyo iyo iyo iyo yo
Iyo iyo iyo iyo yo
Iyo iyo iyo iyo yo
Written by: Gloria Mose Munga, Margaret Atieno Okoth, Peter Tole


