album cover
Alinitua
2,834
Christian & Gospel
Alinitua was released on April 5, 2024 by JEMMIMAH THIONG'O as a part of the album Alinitua
album cover
Release DateApril 5, 2024
LabelJEMMIMAH THIONG'O
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM93

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jemmimah Thiongo
Jemmimah Thiongo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jemmimah Thiongo
Jemmimah Thiongo
Songwriter

Lyrics

Alinitua alinitua mzigo wangu
Alinitua mzigo wangu Mwokozi Yesu
Alinitua mzigo huo mzito sana Baba
Alinitua sasa naweza imba Hosanna
Alinitua alinitua mzigo wangu
Alinitua mzigo wangu Mwokozi Yesu
Alinitua mzigo huo mzito sana Baba
Alinitua sasa naweza imba Hosanna
Mzigo gani ulo kulemea ndugu na dada
Usherati chuki wivu pombe na madawa ya kulevya
Masengenyo uzushi fitina uchochezi na usabasi
Njoo kwa Yesu Mwokozi wangu atakutua uimbe nami
Alinitua alinitua mzigo wangu
Alinitua mzigo wangu Mwokozi Yesu
Alinitua mzigo huo mzito sana Baba
Alinitua sasa naweza imba Hosanna
Alinitua alinitua mzigo wangu
Alinitua mzigo wangu Mwokozi Yesu
Alinitua mzigo huo mzito sana Baba
Alinitua sasa naweza imba Hosanna
Na magonjwa yalowashinda madakitari
Saratani kisukari hata ukimwi Yesu aponya
Damu yapanda macho hayaoni mgongo wauma sana
Njoo kwa Yesu tibabu wangu atakutibu akutue
Alinitua alinitua mzigo wangu
Alinitua mzigo wangu Mwokozi Yesu
Alinitua mzigo huo mzito sana Baba
Alinitua sasa naweza imba Hosanna
Alinitua alinitua mzigo wangu
Alinitua mzigo wangu Mwokozi Yesu
Alinitua mzigo huo mzito sana Baba
Alinitua sasa naweza imba Hosanna
Upungufu wa hali na mali umekusonga
Chakula mavazi pa kulala vyote ni shida
Marafiki hata ndugu wako wamekukimbia wote
Njoo kwa Yesu Mwokozi wangu atakutua akutue
Alinitua alinitua mzigo wangu
Alinitua mzigo wangu Mwokozi Yesu
Alinitua mzigo huo mzito sana Baba
Alinitua sasa naweza imba Hosanna
Alinitua alinitua mzigo wangu
Alinitua mzigo wangu Mwokozi Yesu
Alinitua mzigo huo mzito sana Baba
Alinitua sasa naweza imba Hosanna
Alinitua alinitua mzigo wangu
Alinitua mzigo wangu Mwokozi Yesu
Alinitua mzigo huo mzito sana Baba
Alinitua sasa naweza imba Hosanna
Alinitua alinitua mzigo wangu
Alinitua mzigo wangu Mwokozi Yesu
Alinitua mzigo huo mzito sana Baba
Alinitua sasa naweza imba Hosanna
Written by: JEMMIMAH WATIRI THIONG'O, Jemmimah Thiongo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...