album cover
Hapa
114,595
Afro-Pop
Hapa was released on September 15, 2023 by Konde Music Worldwide as a part of the album Hapa - Single
album cover
Most Popular
Past 7 Days
01:25 - 01:30
Hapa was discovered most frequently at around 1 minutes and 25 seconds into the song during the past week
00:00
00:15
00:20
00:25
00:30
00:35
00:45
00:55
01:10
01:25
01:30
01:35
01:40
02:15
02:25
02:30
02:35
02:40
03:00
00:00
03:18

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ibraah
Ibraah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Abdallah Nampunga
Ibrahim Abdallah Nampunga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Hunter
Hunter
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Kama hujaanza me nishaanza kwenda
Kama hunipendi me nishakupenda
Ah baby baby
Sogea karibu nikunongoneze sweet
You look so fine
Ungekuwa nguo ningevaa nipendeze, cutey
Baby we ndio changu kidege umenikamata sifurukuti
Baby wewe eeh
[PreChorus]
Changu chako chako changu
Unanibana pete tamu yangu
Kwani hujui we ndio msiri wangu
Unanitembeza kwenye tope
Kwa mguu aibuu baby
Hata wakisema waambie
We ndio kiboko ya mimi
I swear unanikosha bibie
Mwenzako nimekula yamini
[Chorus]
Me napenda ukisema
Nikushike hapa hapa hapa na hapa
Eti unaenjoy tam tam
Nikushike hapa hapa hapa na hapa
Ah, baby nikushike hapa hapa hapa na hapa
Eti ni tam tam una enjoy
Nikushike hapa hapa hapa na hapa
Hapa
[Verse 2]
Kiburi hakijengi baby
Na wala mapenzi hayaendeshwi kwa hasira
Nitaenda wapi baby
Kwako milembe unanipa tiba tahira
Sijui nikupendeje maana moyo
Unaona ushakupenda na ushamaliza
Wananita bwege marafiki wanadai nakupenda kupitiliza
Baby eti nakudekeza sana, nakudekeza sana
Baby hata ndugu na jamaa
Wanasema umenipa chaundani
[PreChorus]
Changu chako chako changu
Unanibana pete tamu yangu
Kwani hujui we ndio msiri wangu
Unanitembeza kwenye tope
Kwa mguu aibuu baby
Hata wakisema waambie
We ndio kiboko ya mimi
I swear unanikosha bibie
Mwenzako nimekula yamini
[Chorus]
Me napenda ukisema
Nikushike hapa hapa hapa na hapa
Eti unaenjoy tam tam
Nikushike hapa hapa hapa na hapa
Ah, baby nikushike hapa hapa hapa na hapa
Eti ni tam tam unaenjoy
Nikushike hapa hapa hapa na hapa
[Chorus]
Me napenda ukisema
Nikushike hapa hapa hapa na hapa
Eti unaenjoy tam tam
Nikushike hapa hapa hapa na hapa
Ah, baby nikushike hapa hapa hapa na hapa
Eti ni tam tam unaenjoy
Nikushike hapa hapa hapa na hapa
Hapa hapa hapa na hapa
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...