Lyrics

Lalalala Aiyete iyeee Konde Boy Mi baba yangu sio Magufuli Ama Kenyatta wa Kenya Nikudanganye Mugabe Ni uongo sio sawa Hata nyota yangu mi ni ya sufuri Sio wa kupata tena Kula yangu tu mazabe Sina mchongo kama chawa What I believe, what I believe No money no love Yupo ulompaga moyo Akaugawa vipande Nimeumbwa na wivu Mi na wivu moyo wangu sio mbovu Hakuwaga mchoyo Kutwa miguru upande Kwanza mapenzi yamezaliwa Bombay Masong kwenye majani (Ayee eh) Utaweza mwana wa Mondy Amemshinda sharukani (Ayee eh) Agiza nyama na pombe Ah tulewe twende chumbani (Ayee eh) Nikupe mhogo wa jang'ombe Kisigino kiwe begani Baby all I need mi siwezagi kuzunguka One night, one night, one night stand Yaani nipe nikupe kabla hakujapambazuka One night, one night, one night stand (Konde Boy) Siku hizi kupenda penda kumepitwa na muda One night, one night, one night stand Yaani akikupa kula akisusa mwingine atakuja One night, one night, one night stand Usijidanganye umemkamata Mtoto wa mjini Magoli mengi Samata Hata uzame chumvini Ila kuna wazee wa Migodi Hawagongagi hodi Ujifanye mjanja unachunga Ila ndo wanalipa kodi Utadanganya anaenda jogging Kumbe yuko lodging Mwenzako anajaza mimba Uko gym unajaza body What I believe, what I believe No money no love Yupo ulompaga moyo Akaugawa vipande Nimeumbwa na wivu Mi na wivu moyo wangu sio mbovu Hakuwaga mchoyo Ah, kutwa miguru upande Kwanza mapenzi yamezaliwa Bombay Masonge kwenye majani (Ayee eh) Utaweza mwana wa Mondy Amemshinda sharukani (Ayee eh) Sio unakunywa tu mapombe Unajua anayelipa nani? (Ayee eh) Twende nkakupe guu la ng'ombe Ukaugulie nyumbani chii! Baby all I need mi siwezagi kuzunguka One night, one night, one night stand Yaani nipe nikupe kabla hakujapambazuka One night, one night, one night stand Siku hizi kupenda penda kumepitwa na muda One night, one night, one night stand Yaani akikupa kula akisusa mwingine atakuja One night, one night, one night stand Asa beiby nipe (Nipe nikupe) Acha za kung'ata makucha (Nipe nikupe) Mara unapandisha unashusha (Nipe nikupe) Mida inakwenda (Nipe nikupe, tumalizane leo leo) Eh mbuzi kafa kwa bucha (Nipe nikupe) Mbona saa unayeyusha (Nipe nikupe) Ukichelewa nitasusa (Nipe nikupe) Hebu sogea kwa chamber (Nipe nikupe, tumalizane leo leo)
Writer(s): Ibrahim Nampunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out