Credits

PERFORMING ARTISTS
Mavoicetz
Mavoicetz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdul issa
Abdul issa
Songwriter

Lyrics

Kiitikio
Acheni Nimpost
Mama yangu mieee.
Hata kama Masikini
Mama yangu mieee
Mwenzenu mi ndo kanilea yee.
Mama yangu mieee.
Mwenzenu ndo kanisomeshaye.
Mama yangu mieee
Acheni Nimpost
Mama yangu mieee.
Hata kama Masikini
Mama yangu mieee
Mwenzenu mi ndo kanilea yee.
Mama yangu mieee.
Mwenzenu ndo kanisomeshaye.
Mama yangu mieee
Ubeti wa kwanza
Ningeweza ningekupa Dunia
Mama yangu
Ulisema nisiibe nitafute
Kwa jasho langu
Nijifunze kusamehee
Katika hii Dunia Kuna WATU na viatu
Mamaweee.
Nijifunze kusameheee.
Kiitikio
Acheni Nimpost
Mama yangu mieee.
Hata kama Masikini
Mama yangu mieee
Mwenzenu mi ndo kanilea yee.
Mama yangu mieee.
Mwenzenu ndo kanisomeshaye.
Mama yangu mieee
Acheni Nimpost
Mama yangu mieee.
Hata kama Masikini
Mama yangu mieee
Mwenzenu mi ndo kanilea yee.
Mama yangu mieee.
Mwenzenu ndo kanisomeshaye.
Mama yangu mieee
Written by: Abdul issa
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...