album cover
Nachize
1,694
Worldwide
Nachize was released on April 5, 2024 by Brayban as a part of the album Nachize - Single
album cover
Release DateApril 5, 2024
LabelBrayban
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM196

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Prince brayban
Prince brayban
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Prince brayban
Prince brayban
Songwriter

Lyrics

Verse 1
Moyo unasema songa, miguu inagoma
Kwa milango niliyogonga, mikono inauma
Na kwa vyoyote itakavyokuwa, mi ndo wa kuwatunza wadogo zangu.
Maana wazazi wangu, walishatengana.
Natoka kuchunga ng’ombe nafika nafua, sikutaka gombana na mtu
Siku zote nikiwa najua, ipo siku nitakuwa mtu
Nakuwa mnyonge ikija barua, sikukanyaga shule katu.
Mkimbizi mwana mkiwa, nyumbani kwa baba yangu
Ugali wa matonge nakubaguliwa, mimi na wadogo zangu.
Mi ndo nakamua maziwa, mvua jua vyote vya kwangu
Chorus
Nachize, nachize, nachizo ooh!
Nachize, nachize, tuliza moyo!
Naachize, nachize, nachize ooh!
Naachize, nachize, tuliza moyo!
Instumental playing
Verse 2
Ukisema ulie haina msaada, hata machozi yakijaza ndoo
Kubali kukosa kuliko kuiba, ubinadamu kama kioo
Mara nyingine wanaotuumiza, wanatoka kwenye ukoo
Kichaa sokoni anachekesha, kama si ndungu yako
Natoka kuchunga ng’ombe nafika nafua, sikutaka gombana na mtu
Siku zote nikiwa najua, ipo siku nitakuwa mtu
Nakuwa mnyonge ikija barua, sikukanyaga shule katu.
Mkimbizi mwana mkiwa, nyumbani kwa baba yangu
Ugali wa matonge nakubaguliwa, mimi na wadogo zangu.
Mi ndo nakamua maziwa, mvua jua vyote vya kwangu
Chorus
Nachize, nachize, nachizo ooh!
Nachize, nachize, tuliza moyo!
Nachize, nachize, nachizo ooh!
Nachize, nachize, tuliza moyo!
Bridge
Begani nina jembe mkononi panga(panga)
Ukiniona na drive kama sio mimi
Kichwani nina kuni nikitoka shamba (shamba)
Kwasasa napolaza kichwa changu huwezi amini
Written by: Prince brayban
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...