Lyrics

Ah Madam nakudai Umedunga mini na unapenda mangwai Unadance fiti unawacha niki smile Ama niko high juu walai zimenice. Ah Madam nakudai Umedunga mini na unapenda mangwai Unadance fiti unawacha niki smile Ama niko high juu walai zimenice. Lazima ring... Lazima ringlight Ndio msupa atukunywe na mapicha Social Media sio wote ni wa ma filter Kuna wengine personally wameivaa Na bado nyuma unapata amebarikiwa Ukitupa vibes kawaida wao huringa Lazima ufike bei ndio ukatike na madiva Design nimezoza imebaki niitwe E-SIR! Ah Madam nakudai Umedunga mini na unapenda mangwai Unadance fiti unawacha niki smile Ama niko high juu walai zimenice. Ah Madam nakudai Umedunga mini na unapenda mangwai Unadance fiti unawacha niki smile Ama niko high juu walai zimenice. Na ni kwela mi nataftanga top tier Mwenye anajiweza anajibeba anajitaftia Juu bila doh kama story nakukanyagia Kupanuka atiz alert hauwezi kutulia Alijichocha nakusema venye,mi niplayer After kuparty jana usiku,manze alinipea Akona chali, nabado mali inapepea Kanairo blanda ukicheza tunakuchezea Peng ting ni sura zingine anaeza adisia Ma light skin,ndio kidogo mi nachangamkia Anajitepa, na mi ndio najipulizia Na ka ni mechi anapenda kucheza na gear Juu kaa kwela,mi napenda kuji taftia Sio lazma bigi,mi napendanga petite pia Hawezi zima, ka mzinga anaongeza na bear Na usipo chunga kama kiti anaeza kukalia Ah Madam nakudai Umedunga mini na unapenda mangwai Unadance fiti unawacha niki smile Ama niko high juu walai zimenice. Ah Madam nakudai Umedunga mini na unapenda mangwai Unadance fiti unawacha niki smile Ama niko high juu walai zimenice.
Writer(s): Smith Mwaniki Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out