album cover
Leo
1,599
Worldwide
Leo was released on April 19, 2024 by Mingo Classic as a part of the album Leo - Single
album cover
Release DateApril 19, 2024
LabelMingo Classic
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mingo Classic
Mingo Classic
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Said Mingo
Said Mingo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Cukie Dady
Cukie Dady
Producer

Lyrics

Intro. Eeeeh eeeh. Is cukie dady
Verse1
hata kama tunawakelaga. Tuwape na hii beibe
Mi nakuona wasipokuonaga tukiluka ndebe.
Hatakama wanabwabwaja mi na we tuwatenge.
Mi nasema hata mto wa mamba.
Mi nawe tuogelee.
BRIDGE
Unajua uwa uwa
Nauguwa uwa uwa
Nazidiwa uwa uwa.
Nispokuonaga weewee.
Wanajua uwa uwa. Misio wakishua uwa.
Natumia uwa uwa. Tajiri yangu ni weewee.
CHORAS
Oooh weeo hatujakutana leo.
Sijakuona kwa video.
We niwangu chukua vyeo. X2
Velse 2
Naikitokea wanataka kuonana na wewe wanionemie
Na kama wanataka kupendana na wewe.
Wakupende zaidi ya mie.
Kwa ulivyonikamata.
Nitaweka mipaka.
Hii karata sjalamba garasa.
BRIDGE
Unajua uwa uwa
Nauguwa uwa uwa
Nazidiwa uwa uwa.
Nispokuonaga weewee.
Wanajua uwa uwa.
Misio wakishua uwa.
Natumia uwa uwa.
Tajiri yangu ni weewee.
CHORAS
Oooh weeo hatujakutana leo.
Sijakuona kwa video.
We niwangu chukua vyeo. X2
Written by: Said Mingo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...