album cover
Umebadilika
album cover
Umebadilika was released on December 14, 2021 by Waka Music Limited as a part of the album Umebadilika - Single
December 14, 2021
LabelWaka Music Limited
BPM96
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Intro]
Mbona umebadirika wee, siwezi kukubadirisha me
Naona umebadirika wee, siwezi kukubadirisha
[Verse 1]
Ulianza na visa visa wee, ukiniona unakunja ndita eeh
Maugomvi bila visa eh, inaonesha umenichoka me
Basi usingetia nia ka hauezi umebadiri gia na hauendi
Naona unachati nao tena wengi nisikufatilie haupendi
[PreChorus]
Ni kweli una kasoro zako we binadamu najua (Hauja kamilika)
Ila upo kwenye Maisha yangu ukiondoka ya ta vulugika babe eeh
[Chorus]
Naona umebadirika wee, siwezi kukubadirisha me
Naona umebadirika wee, siwezi kukubadirisha me
Naona umebadirika wee, siwezi kukubadirisha me
Naona umebadirika wee, siwezi kukubadirisha me
[Verse 2]
Hivyo vimini vipodozi ulivyo jua ipo siku vita kutokea kwenye pua
Hao mashoga zako kwani hauja wajua wanafanya utoto kama hawaja kua
Hauna roho ya kibinadamu uuh, unaendeshwa na ma Instagram uuh
Umebadili mpaka na nizamu uuh kiasi mpaka cha kunidhalau uuh
[Bridge]
Basi usinge tia nia Kaa hauwezi, umebadili gear na huendi
Una chat nao tena wengi iih, nisikufatilie haupendi
[PreChorus]
Ni kweli una kasoro zako we binadamu najua (Hauja kamilika)
Ila upo kwenye maisha yangu ukiondoka ya ta vurugika babe eeh
[Chorus]
Naona umebadirika wee, siwezi kukubadirisha me
Naona umebadirika wee, siwezi kukubadirisha me
Naona umebadirika wee, siwezi kukubadirisha me
Naona umebadirika wee, siwezi kukubadirisha me
Written by: Baltazary Eligy Romani, JOHN DAVID LUBOTE
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...