Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Shasco Brand
Shasco Brand
Performer
COMPOSITION & LYRICS
safii mohamedy
safii mohamedy
Songwriter

Lyrics

Mhhhhh Shasco brand fundiii
Shasco brand fundiii
Weeeeh weeeeh
Weeeeh weeeeh
hakuna matata tata tata tataa
hakuna matata tata tata tataa
aaah wee zaigubu saa mbona unagubu nimekupa hela ya kula umeenda kuchezea dubu
Usinipande kichwani kichwani kichwani maloloo
Weeeeh weeeeh
Upo kwenye moyo kwandani kwandani kwandani malolooo
Weeeeh weeeeh
hakuna matata tata tata tataa
hakuna matata tata tata tataa
ata mwezi hatuna mbona shida kibao
hela ya kusuka huna kodi inaisha leo
na nikikunyima hela iyoo ndo shida
Unawapa hadi Masela kwako kawaida
Wee unaendekeza madubu. madubuu
unaendekeza madubu. madubuu
Weeeeh weeeeh
Weeeeh weeeeh
Nyie Wanangu sijaona kwanza mkicheza
Sijaona kwanza mkiruka
humuu tuuuu
humuu tuuuu
humuu tuuuu
humuu tuuuu
Aaah weee the sun
baba mamuu
tashiiii
Watoto wa uchagani pastori
Watoto wa Lisbon City eeeh
Juma kinigaa
tompooo
Dully talent
Weee kwebee wewee
aaaah weeeeh dizainaa movan macode
Written by: safii mohamedy
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...