Lyrics
Hello sister, samahani nimekuita
Kaja kwa upole huku anasita sita
Mkononi ana macho matatu, oh
Labda alisita kwa vile aliniona mchafu
Mi ndo yule nilikuona TikTok
Mi ndo yule nilikuomba namba ya WhatsApp
Mi ndo yule nilikuona Facebook
Mi ndo yule nilikuomba namba ya WhatsApp
We dada, mi ndo yule ukipost picha
Na comment makopa ndio mie
Ulie niomba vocha nikaforce nikutumie
Niliekutumia meseji ukasema nikaushie wewe
Wewe dada, mi ndo yule ukipost picha
Na comment makopa, ndio mie
Ulie niomba vocha nikaforce nikutumie
Niliekutumia meseji ukasema nikaushie
Mi ndo yule namba yako ulinipa kwa masharti
Mchana nisipige, Usiku hautaki tuchati
Mi ndo yule unanijibu text moja basi
Samahani we mkaka, usumbufu sitaki
Mi ndo yule mchizi muimba mapenzi
Unaenipa kipindi kuwa na mimi huwezi
Mi ndo yule fukara nisiokuwa na hela
Wala pakulala, sina biashara
Mi ndo yule, mi ndo yule
Mi ndo yule, mi ndo yule
Mi ndo yule, mi ndo yule
Hunikumbuki, mi ndo yule
Mi ndo yule haipiti siku lazima nikucheki
Mi ndo yule uliniombaga laki moja ya keki
Mi ndo yule kwenye party yako niliishia getini
Mi ndo yule
Mi ndo yule ulioniuliza natumia simu gani
Mi ndo yule nilokujibu namiliki ki iPhone
Mi ndo yule uloniuliza iPhone ya aina gani
Mi ndo gafla nikakujibu ki Itel, jamani
Mi ndo yule namba yako ulinipa kwa masharti
Mchana nisipige, usiku hautaki tuchati
Mi ndo yule unanijibu meseji moja basi
Samahani we mkaka, usumbufu sitaki
Mi ndo yule mchizi muimba mapenzi
Unaenipa vipindi kuwa na mimi huwezi
Mi ndo yule fukara nisiekuwa na hela
Wala pakulala, Sina biashara
Mi ndo yule, mi ndo yule
Mi ndo yule, mi ndo yule
Mi ndo yule, mi ndo yule
Hunikumbuki, mi ndo yule
Ah, Vitamin Music Forever
Mi ndo yule, mi ndo yule
Mi ndo yule, mi ndo yule
Msomali, Vitamin Singeli
Written by: Adasco M2 M'bad, Riphati Jumanne Omary, Riphati Jumanne Omary a.k.a Msomali