album cover
Imba
122
Afro-Pop
Imba was released on June 28, 2025 by Vitamin Music as a part of the album Vitamin Music - EP
album cover
Release DateJune 28, 2025
LabelVitamin Music
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM139

Credits

PERFORMING ARTISTS
Msomali
Msomali
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rifati Jumanne Omary
Rifati Jumanne Omary
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Adasco M2 M'bad
Adasco M2 M'bad
Producer

Lyrics

J4d sound
Aaah Vitamin Yooh
Natumia fani hii kuwapa salamu
Kwa wale wenye kipato muache dharau
Kwa wasio nakipato kesho tupande dau
Sheba shebaah
Oya Mwenenu eh mi naimba (imba Baba)
Mi naimba imba (imba Baba)
Oya Mwenenu mi naimba(imba Baba)
Mi naimba imba (imba Baba)
Eti wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Mama wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Tena wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Kwa usafi wa mavazi kupata bwana rahisi yaani
Na icho kisimu chako bando litakufilisi yaani
Ivo vimacho viwili venye makava manne
Ndio isiwe sababu kutoheshimiana
Kutoeshimana kutoheshimiana Sheba Shebah
Oya Mwenenu eh mi naimba (imba Baba)
Mi naimba imba(imba Baba)
Oya Mwenenu mi naimba (imba Baba)
Mi naimba imba(imba Baba)
Eti wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Mama wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Tena wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Oya we umenipiga picha kunitumia mtihani
We umenipiga picha kwenye Iphone
Paka nikutumie bando lasivyo hupatikani
Ivo vimacho viwili venye makava manne
Ndio isiwe sababu kutoheshimiana
Kutoeshimana kutoheshimiana Sheba Shebah
Oya Mwenenu eh mi naimba (imba Baba)
Mi naimba imba (imba Baba)
Oya Mwenenu mi naimba (imba Baba)
Mi naimba imba (imba Baba)
Eti wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Mama wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Tena wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Ona Kapata ela ya mchezo kanunua mkorogo
Mkorogo umesisha kabaki kama kuku wa mdondo
Ivyo vihela vya mchezo vilaki laki mbili
Ndio isiwe sababu kutoheshimiana
Kutoheshimana kutoheshimiana Sheba Shebah
Oya Mwenenu eh mi naimba (imba Baba)
Mi naimba imba (imba Baba)
Oya Mwenenu mi naimba (imba Baba)
Mi naimba imba (imba Baba)
Eti wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Mama wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Tena wanarudi kinyume nyume kama wachawi
Asandeee
Shaidadyy
We tajiri PM
From keko fenicha
Baraka Mkandee
Wee weee
Aaaah vitamin yooh
Imba Baba
Imba Baba
Imba Baba
Imba Baba
Written by: Rifati Jumanne Omary
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...