Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Israel Mbonyi
Israel Mbonyi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Israel Mbonyi
Israel Mbonyi
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Nimesulubiwa nae lakini mi niko hai
Si mimi tena, Kristo ndani yangu
Nitajisifia udhaifu, kwa furaha nyingi
Ili uweza wake ukae juu yangu
[Verse 2]
Yote nitendayo ni kwa imani
Sitaibatili neema ya Mungu
Kamwe
[Verse 3]
Yanitosha neema ya Mungu
Ndio uzima kuyatambuwa
Kwenye mapungufu yangu, ndipo nguvu zake, zatimia
Kwenye mapungufu yangu ndipo nguvu zake, zatimia
[Verse 4]
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
[Verse 5]
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
[Verse 6]
Yanitosha neema ya Mungu
Ndio uzima kuyatambuwa
Kwenye mapungufu yangu, ndipo nguvu zake, zatimia
Kwenye mapungufu yangu ndipo nguvu zake, zatimia
[Verse 7]
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
[Chorus]
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
[Chorus]
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
[Chorus]
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
[Chorus]
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
[Chorus]
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
Sio mimi tena, Kristo ndani yangu
Hayo yanitosha
[Bridge]

[Outro]

Written by: Israel Mbonyi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...