album cover
Mozzah
6,353
R&B/Soul
Mozzah was released on November 29, 2022 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Mozzah - Single
album cover
Release DateNovember 29, 2022
LabelSony Music Entertainment East Africa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM77

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Aslay
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay
Aslay
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Daudi Bakari Myoya
Daudi Bakari Myoya
Producer

Lyrics

Mozzah, Mozzah wangu mama
Mmoo
Unaniliza sana
Mmoo
Nakukumbuka saana
Mmoo
Hmm!
Yananikuta mwenzako
Baada tu ya kifo chako
Aii, Mozzah wangu
Naheshimu malezi yako
Nakuombea mwenzako
Nawe niombee mtoto wako
Aii, Mozzah wangu
Mi nateseka mwenzako
Wee ee
Aah
Ulitesa kuhusu mimi
Ulilala na njaa nile mimi
Uligombana na majirani
Kisa tu hutaki nipigwe mimi wee
Najua unanisikia, ila kunijibu ndiyo huwezi
Mwanao sifuri sio mia
Naomba niombee kwa mwenyezi
Aah, Mozzah wangu! (Hmm!)
Sasa hivi kibaba, nina watoto wananiita baba
Tena si haba, kuna mmoja jina kalibeba
Anaitwa Mozzah
Wa jina waako ooh
Mmoo-moo, Mozzah
Mmoo, moo-moo
I miss you my mother
Mmoo, moo-moo, Mozzah
Mmoo, moo-moo
I miss you my mother
Hmm
Elele mama
Mhh, mama
Mhh
Ulikuja kama mama kumbe malaika
Fungua mbawa zako mama uweze kuruka
Umenifundisha mema mengi yasohesabika
Mama (Eeh hii)
Na nimechoma shuka ulizotandika
Maana nikiziona machozi yatiririka
Na nimepanda mti pale ulipotapika
Mamaa (Mmhh mmh)
Duniani ulipendwa sana
Hadi walililia walokutukana
Kwenye ndoto nakuona mama
Uko peponi unakula tunda jema
Mm mamaa
I miss you mama
Ooh mama eeh, mama eeh (Ah)
Machozi yagonga hodi, (Hmm)
Ila nikilia haurudi, (Hmm)
Najiweka kwenye moodi
Mama sijachoka nakuombea kwa God (Mhh)
Aah I’m so sadi
I miss mama japo haurudi
Ii ye-yeeh, yah-yaah
Mmoo, moo-moo (Mmh), Mozzah
(Mozzah) Mmoo, moo-moo
I miss you, my mother (I miss you my mama mamaa)
Mmoo, moo-moo (Mmh), Mozzah
Mmoo, moo-moo (I miss you, my mother)
Written by: Aslay
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...