Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Lony Bway
Lony Bway
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Yes, roho yangu mi', wewe hapo
Waubavuni, wewe hapo
Unae niwezea mimi, eeh, wewe hapo
Unaenipatia, ah, wewe hapo, ayi
[Verse 2]
Naonaga wenye shepu
Moja moja wakidondosha
Ila siwatamani
Mie we unantosha
[Verse 3]
Wanakujaga wenye vibunda
Aah wanaringisha
Ila siwatamani
Aah we unanitosha
[Verse 4]
Unapanda baby, wanashuka bei
Ooh nah nah nah, waniweza bae
Unapanda bei, wanashuka bei
Ooh nah nah nah, waniweza bae
[Verse 5]
Si unajua kipenzi, yote hayo
Bila we siwezi, sina nyayo
Kutembea siwezi, hapo-hapo
Na umeniwezea ndo umenikolea
[Verse 6]
Ndo maana nataka ujue mi roho yangu wewe hapo
Wa ubavuni, wewe hapo
Umeniwezea mimi, wewe hapo
Unanijulia, wewe hapo
[Verse 7]
Sitangitangi, siendi popote
Mi chambi chambi sina ila usiondoke
Na sitambi tambi samaki yake maji sio tope
Mi nishaweka kambi kama unakufa wee, tufe wote
[PreChorus]
Si unajua mapenzi, yote haya
Bila we siwezi, sina nyayo
Kutembea siwezi, hapo-hapo
Na umeniwezea ndo umenikolea
[Chorus]
You wanna give me your sugar eeh, ooh wee
Mabusu kila muda, ooh wee
Upendo umezama ndani kwangu, sijielewi
[Chorus]
Upo kila muda wee, ooh wee
Sio Yuda wee, ooh wee
Usaliti mi sio vitu vyangu, ooh babe wee
[Chorus]
Ndo maana nataka ujue mi roho yangu, wewe hapo
Wa ubavuni, wewe hapo
Unaeniwezea mimi, wewe hapo
Unaenijulia, wewe hapo
Written by: Tony Bway
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...