album cover
Hivi
1,504
Music
Hivi was released on August 22, 2024 by Darkid Tz as a part of the album Hivi - Single
album cover
Release DateAugust 22, 2024
LabelDarkid Tz
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM114

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Darkid
Darkid
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Thabit Juma Thabit
Thabit Juma Thabit
Songwriter

Lyrics

Tutu tututu tutu tu
Mmh mmmh mmh
Mwambieni apunguze kunipenda
Maana mahaba naona yanazidi
Nsije nkanenepa nikawa kibonge bigi
Mwambieni basi asinipende zaidi
Kanipendezesha kaninawirisha , nilikuwa kama nimezeeka , utotoni kanirudisha
Nimekuwa mzuri skuizi napendeza
Shavu limetoka , mambo yangu supa
Huyo ex wangu aloniacha , mwenyewe anashangaa maana hakuniacha hivi
Yule mpuuzi aloniachaga , mpaka anashangaa maana hakuniacha hivi
Hakuniacha hivi Hakuniacha hivi
Mwenyewe anashangaa , Maana hakuniacha hivi
Hakuniacha hivi Hakuniacha hivi
Mpaka anashangaa , maana hakuniacha hivi
Yani tangu nimpate huyu
Mambo yangu yanaenda sawa
Moyo wangu umetuliaa , tangu nlivompata yeye
Sina hata dalili ya kuachana nae
Mpango huo sina
Mpango Huo sina
Huyo ex wangu aloniacha , mwenyewe anashangaa maana hakuniacha hivi
Yule mpuuzi aloniachaga , mpaka anashangaa maana hakuniacha hivi
Hakuniacha hivi Hakuniacha hivi
Mwenyewe anashangaa , Maana hakuniacha hivi
Hakuniacha hivi Hakuniacha hivi
Mpaka anashangaa , maana hakuniacha hivi
Written by: Thabit Juma Thabit
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...