album cover
Mateka
1
Afro-Beat
Mateka was released on May 14, 2024 by GOLDEN MUSIC WORLDWIDE as a part of the album Mateka - Single
album cover
Release DateMay 14, 2024
LabelGOLDEN MUSIC WORLDWIDE
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Salum Said Nyangumwe
Salum Said Nyangumwe
Songwriter

Lyrics

Uniua niua niua
Unanifanya mateka, unanifanya mateka
Uniua niua niua
Unanifanya mateka, unanifanya mateka
Binadamu binadamu
Hawana jema binadamu
Ukifanya mchezo binadamu
Roho wanaichukua
Ye hata ndugu wa damu anakua sumu
Mpenzi wa dhati anakuwa gundu
Zile zote tamu zinakuwa chungu
Tabu kukupatia
Ooh mama alishaniambia
Pambana tu utawajua
Wana roho chaf* wana roho chaf*
Akasema wewe vumilia
Ya dunia yana mwisho pia
Usikate tamaa , nakuombea mwanangu
Ukilia watashangilia
Vigele vigele gele
Ukicheka watakununia
Kelele kelele lele
Wanakuja wanaondoka usiamini wakicheka
Wanataka uwe mateka wanataka uwe mateka
Wanakuja wanaondoka usiamini wakicheka
Wanataka uwe mateka wanataka uwe mateka
Waziba rizki wavunja nazi (Eeh)
We chuki waziwazi (Eeh)
Wanapata uchungu wa uzazi ukifanikiwa
Napiga konde moyo najua mola atanitetea
Yanakaba roho maneno yao wanayokusemea
Kwanza anavimba
Pia hajui kuimba
Afu mtoto wa mama
Anaringa ringa kwenye mapenzi ni mjinga
Anapenda sana
Ukilia watashangilia
Vigele vigele gele
Ukicheka watakununia
Kelele kelele lele
Wanakuja wanaondoka usiamini wakicheka
Wanataka uwe mateka wanataka uwe mateka
Wanakuja wanaondoka usiamini wakicheka
Wanataka uwe mateka wanataka uwe mateka
Mama niombee, (niombee ,niombee)
Mama niombee ( nifanikiwe ,nifanikiwe)
Mama niombee eeh
Mama niombee
Mama niombee ,Mama niombee
Eeeeeh!
Written by: Salum Said Nyangumwe
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...