album cover
Sawa
1
Afro-Beat
Sawa was released on April 1, 2025 by GOLDEN MUSIC WORLDWIDE as a part of the album Sawa - Single
album cover
Release DateApril 1, 2025
LabelGOLDEN MUSIC WORLDWIDE
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM184

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Salum Said Nyangumwe
Salum Said Nyangumwe
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Salum Said Nyangumwe
Salum Said Nyangumwe
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Alien Trax
Alien Trax
Producer

Lyrics

Mola maulana
Nilichokosa nini jama?
Mbona hili dubwana
Mapenzi yananionea
Au laana?
Nikatambike kwa mizimu
Chale kuchanwa
Vitabu vya kusomewa
Ooh nami
Upole wangu ndo chanzo nionewe
Vita siwezi
Kama hunipendi niambie niende
Vitu vidogo tunakamiana, tunakamiana
Tukigombana,Unakusanya eti unakusanya
Basi kwenda mwana Kwenda
Nitakuwa sawa
Usije nitoa nyongo mwana wa Mwenzio
Mi nitakuwa sawa
Yasiwe makubwa, Yasiwe makubwa
Nitakuwa sawa
Tena nenda hata nyuma wala usiangalie
Mi nitakuwa sawa
Chuki na wewe sina
Vidonda ulivyofumua
Maumivu yananiuwa
Yeye yeye yeye
Najikusanya nahema
Najipa moyo hata kesho nitapona
Pona
Japo naona sinema
Ma picha picha ulikuwa chanda chema
Alhamdullilah nashukuru
Japo uchungu si kitoto
Umenifunza ya dunia
Tena si kidogo
Maana mbwembwe zote sina
Nimekuwa mpole jeuri koma
Limenishuka,nimechina
Wananicheka ninavyosonona
Vitu vidogo tunakamiana
Tunakamiana
Tukigombana,unakusanya
Eti unakusanya
Basi kwenda mwana kwenda
Mi nitakuwa sawa
Usije nitoa nyongo mwana wa mwenzio
Mi nitakuwa sawa
Yasiwe makubwa, Yasiwe makubwa
Nitakuwa sawa
Tena hata nyuma wala usiangalie
Nitakuwa sawa
Chuki na wewe sina
Mimi sina
Written by: Salum Said Nyangumwe
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...