Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Anastacia Muema
Anastacia Muema
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Anastacia Muema
Anastacia Muema
Songwriter

Lyrics

NDOA NI UPENDO
 Tazama sura yangu inavyopendeza, tazama vazi langu, linavutia sana. Ni Mungu amejaza, pendo ndani yetu. Ni mungu amefanya leo tuungane. CHORUS: Upendo wako ndio taa yangu moyoni, unaangaza mambo yote mema moyoni. Nyumbani mwetu lishamiri pendo la dhamani, na kinywa changu kitamke wazi nakupenda. 1. Ni mimi nimetoka, ubavuni mwako, nipende siku zote, nilinde siku zote. CHORUS: Upendo wako ndio taa yangu moyoni, unaangaza mambo yote mema moyoni. Nyumbani mwetu lishamiri pendo la dhamani, na kinywa changu kitamke wazi nakupenda. 2. ⁠Mwenyezi Mungu ailinde, ailinde ndoa yetu, ibarikiwe siku zote, maishani mwetu CHORUS: Upendo wako ndio taa yangu moyoni, unaangaza mambo yote mema moyoni. Nyumbani mwetu lishamiri pendo la dhamani, na kinywa changu kitamke wazi nakupenda
Written by: Anastacia Muema
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...