album cover
Utaniua
7,747
Music
Utaniua was released on October 18, 2024 by CBO Music as a part of the album RUMBA VOL.1
album cover
Release DateOctober 18, 2024
LabelCBO Music
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM73

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christian Bella
Christian Bella
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christian Bella
Christian Bella
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Nimetafuta wa kulinganisha nawe
Nimegundua kumbe we ni wakipekee
Kwa uzuri wako ingekua amri yangu
Ningekuweka uwe kivutio cha taifa
Hivi mungu alikuumba kwa udongo gani
Urembo na tabia nzuri kumbe we ni wakipekee
Wewe ndiye nuru yangu kipenzi
Usiku kucha mpenzi wanimulikia
Ma cherie mon amor sijutii kukufahamu
Nakupenda wewe kipenzi
Chonde chonde mpenzi usijeniacha solemba
Ma cherie mon amor sijutii kukufahamu
[Chorus]
Sijui mpenzi nikufananishe na nini
Thamani yako ni zaidi ya madini
Sijali maneno mi nishakupenda
Naufunga moyo kwako nimeshafika
Naunipe naunipe tena kila kukicha
Mpenzi utaniua utaniua
[Verse 2]
Naomba mungu atulinde tusije kuachana
Nitapata wapi kama we
Unavyoniweza umenionyesha njia umenituliza mama
Hujawai niacha mpweke kipenzi
Kwenye shida na raha unanienzi baby
Nitakulinda nitakutunza ntakupambania
Mapenzi yamenizidi kwako siwezi zuia
[Chorus]
Sijui mpenzi nikufananishe na nini
Thamani yako ni zaidi ya madini
Sijali maneno mi nishakupenda
Naufunga moyo kwako nimeshafika
Naunipe naunipe tena kila kukicha
Mpenzi utaniua utaniua
[Verse 3]
We ndiyo yangu fahari nakupenda
Sauti yako ya mahaba unanimaliza baby
Sijui niseme nini maneno haitoshi kujieleza
Sina kikubwa cha kukupatia zaidi ya kukupa sifa zako
Ma cherie yeyeyeye we ni mrembo
Na lela yo yeyeye
Ngala kakai yo yeyeye
[Chorus]
Sijui mpenzi nikufananishe na nini
Thamani yako ni zaidi ya madini
Sijali maneno mi nishakupenda
Naufunga moyo kwako nimeshafika
Naunipe naunipe tena kila kukicha
Mpenzi utaniua utaniua
Written by: Christian Bella
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...