album cover
Nateswa
6,281
Music
Nateswa was released on September 25, 2024 by Kelly Tz as a part of the album Nateswa - Single
album cover
Release DateSeptember 25, 2024
LabelKelly Tz
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM95

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kelly Tz
Kelly Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
karim omary kemba
karim omary kemba
Songwriter

Lyrics

mmh mh mh mh mmh
onaana
Kelly tena
aaee
sawa nafuta namba zako
na massage stotuma aa
sitopiga simu yako
ata kukutaja jiina
Aa najuwa unachaguo lako
me unaniona ku aa......
msalim mpenzi waako
mwambie kinyongo Sina
mie masikini sijui
labla ndoumeniacha ooo
au Sina ujuzi sijuiii
uwenda siyo tip yako
au tuseme zombie aujui
kwa bed ulitaka piano oo
me mtaratibu sijuii
namambo yakina mbosso
kumbe mapenzi season
ndokwanza Nipo kipande Cha 50
mbaka nifike 360
sintakua hoi Sana
mana mapenzi kwanini
kila siku naachwa mimi
naempenda anithamini
yananichangaanya auu.......
Na teeswa
na teeswa
na teeeswa
na teeswa
mamaa........
auuu........
mmh.......
aee ......
nataka nikupe taharifa
picha zako profile nishafuta
ujumbe uliotuma umefika
me jongoo namti unatupa
Ina maana nimefanya kazi ya kaniisa
sioni mchango wa sadaka wala misa
wekumbe bakhelesa nakufuturisha
naacha vilema Wana angaika
mie masikini sijui
labla ndoumeniacha ooo
au Sina ujuzi sijuiii
uwenda siyo type yako
au tuseme zombie aujui
kwa bed ulitaka piano oo
me mtaratibu sijuii
namambo yakina mbosso
kumbe mapenzi season
ndokwanza Nipo kipande Cha 50
mbaka nifike 360
sintakua hoi Sana
mana mapenzi kwanini
kila siku naachwa mimi
naempenda anithamini
yananichangaanya auu.......
Uuuu...
Na teeswa
na teeswa
na teeeswa
na teeswa
mmamaa........
auuu........
mmh.......
aee ......
amm......
amm.....
mama......
aee....
Written by: karim omary kemba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...