album cover
Ananionea
album cover
Ananionea was released on November 2, 2025 by Kelly Tz as a part of the album Ananionea - Single
November 2, 2025
LabelKelly Tz
LanguageEnglish
BPM82
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

kwani Nini mapenzii
au kupenda sijuii
kubembeleza sijui ii
kupetipeti sijuii
aah! minampa mapenzi ana nisaliiti
Nampa moyo Bado ana nichit
sijui anataka aichukue rooh!
Mimi sijui
 
kileleni napanda sifiiki
simzangu nikipiga ashiki
Whatsapp message
ana bluu tiki
mmh aa
Ana nichit anajuwa
siwezi kumkataa
 siwezi kumuachaa siweziii ooh!
ananifanya Mbaka
nalia mpenzi ana nitesaa
kwamarafiki zake
anatamba ameniwezaa.
ananionea
mmh mmh
mmh mh
ananionea iii
mmh mh.
mh ananionea
mmh unampa mapenzi
ili asije kukuachaa
asije kukuaacha
wala hajuii umefanya mengi
Bado anakuona taka taka
anakuona taka taka
aa.
kama aukunipenda aukusema kwanini
umeniaminisha unanipenda kwanini
umekuja kwenye maisha yangu kwaninii mmh!
aa.
tatzo moyo wangu umekukosea niniii
ahadi zako zote siziamini
ivi ushafanya nae ulicho fanya namimi
mmh aa
Ana nichit anajuwa
siwezi kumkataa
 siwezi kumuachaa siweziii ooh!
ananifanya Mbaka
nalia mpenzi ana nitesaa
kwamarafiki zake
anatamba ameniwezaa.
Written by: karim omary kemba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...