Credits

PERFORMING ARTISTS
Bebycia Ramuel
Bebycia Ramuel
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bebycia Ramuel
Bebycia Ramuel
Songwriter

Lyrics

Mmh yea mmmh umhmm
Ni kweli huwezi zuwia mwanadamu asiongee
Wala kuuzuwia kusemwaga
Na sisi ndo wale watoto wake na Mungu tuloambiwaga hatuwezi
Tukatengwa na wengi,
NILIPOOMBA KWAKO NIPATE KIWANJA WALISEMA NIMECHANGANIKIWA
WAKATABIRI ETI SIFIKI MBALI ETI NIKITOBOA BASI DUNIA SIO YAO
ninaomba tena unipe kagari presha ziwapande na bipiii hayawi yamekuwa umenipa nyumba wanasema sio bure kuna una ndumba
Me nataka kufanana nawee
NAWEEEEE
niwe sawa sawa nawe
NAWEEEE
nikiwa nawe nitashinda
NAWEEE
sitaogopa
Me nataka kufanana
NAWEEEEE
niwe sawa sawa nawe
NAWEEEE
nikiwa nawe nitashinda
NAWEEE
sitaogopa
Hata aaaah
nilipoumwa Mimi ndo walisema kikowapii iiih alijivunia Mungu
Nikawasio
wakupona Tena kwa Imani nikainuka tena sasa nasimama nina ujasiri katika wewe
ninaomba tena unipe kagari presha ziwapande na bipiii hayawi yamekuwa umenipa nyumba wanasema sio bure Kuna ndumba
Me nataka kufanana
NAWEEEEE
niwe sawa sawa nawe
NAWEEEE
nikiwa nawe nitashinda
NAWEEE
sitaogopa
Me nataka kufanana
NAWEEEEE
niwe sawa sawa nawe
NAWEEEE
nikiwa nawe nitashinda
NAWEEE
sitaogopa
Aahaaa ahaa ahhh aaha ahaaa
NAWEEE NAWEEE EEH
NIFANANE NAWEEE ME NIISHII KAMA WEWEEEE BWAANAAAAA AAAAAAHHH NIFANANE NAWEEE NIFANANE NAWEEE NAWEEE NIWEE NAWEEEEE
Written by: Bebycia Ramuel
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...