album cover
Magetoni
album cover
Magetoni was released on November 28, 2024 by Mafioso Inc as a part of the album Magetoni - Single
November 28, 2024
LabelMafioso Inc
BPM95
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Rafiki zako wanapenda soga na story mbaya
Naskia unaniponda eti mi ni mbaya
[PreChorus]
Maneno mengi naskia mengine kunizushia
Michongo kunibania eeh wanateseka wanaumia
Hata nikapata kabia wanaona nawavimbia
[Chorus]
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni tu
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni tu
[Verse 2]
Kubebabeba lawama, kwetu kawaida
Unaweza kuitwa mwizi hata kama hujaiba
Tulishapata hasara kabla ya faida
Na riziki Mungu akitoa wanapanga kuziba
Oyah no ma
Uliza mwanamboka kwenye kona
Niko na wanangu wa sembe dona
Puff puff moja tunachoma
Billnass Billnass
[PreChorus]
Maneno mengi naskia mengine kunizushia
Michongo kunibania eeh wanateseka wanaumia
Hata nikapata kabia wanaona nawavimbia
[Chorus]
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni tu
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni tu
[Verse 3]
Oya wanangu wa ghetto
Tujidai tujidai
Kwani nani anatudai
Oya wanangu wa ghetto
Tufurahi tufurahi
Kikubwa uhai
Oya wanangu wa ghetto
Tujidai tujidai
Kwani nani anatudai
Oya wanangu wa ghetto
Tufurahi tufurahi
Kikubwa uhai
[PreChorus]
Maneno mengi naskia mengine kunizushia
Michongo kunibania eeh wanateseka wanaumia
Hata nikapata kabia wanaona nawavimbia
[Chorus]
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni tu
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni tu
[Outro]
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi mtoto wa magetoni tu
Written by: William Lyimo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...