album cover
Nana
8,574
Afro-Pop
Nana was released on July 28, 2023 by Waka Music Limited as a part of the album Nana - Single
album cover
Release DateJuly 28, 2023
LabelWaka Music Limited
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM93

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dayoo
Dayoo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Baltazary Eligy Romani
Baltazary Eligy Romani
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Beat Killer
Beat Killer
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Nishazunguka kote duniani kama we sijamuona
Gari umeliwa washa-washa, washa-washia angani
Polepole we mkimya mwendo wako ukitembea utoki jasho
Unang'ata kucha unafumba macho, zitaniua pigo zako
[Verse 2]
Sir God amekupamba we alooh, amekupa nyumba yani mpaka choo
Makolo wakikujaza we wa ignore mmh akili kichwanii eeh
[Chorus]
Ooh nana, nana mwaka huu watakoma mama eeh
Watasubiri sana, sana kuja kuachanaeeh
Unanifanya naimba (Onana nana na nana aah)
Mwenyewe eeh (Onana nana na nana aah)
Kichwani umenikaa (Onana nana na nana aah)
Na uwaambie eeh eeh (Onana)
Moyoni umenijaa (Onana nana na nana aah)
Ooh na, na naa (Onana nana na nana aah)
Ooh na, na naah (Onana nana na nana aah)
Mmh, mmh, mmh (Onana)
[Bridge]
Moyoni umenijaza, oh lalala
Moyoni umenikaa, olala eiye
[Verse 3]
Nataka ni invest kwenye body uwe unapendeza (Aah, aah)
Zaidi ya kina nai
Usinyoe baby uwe unasuka ukikopeshwa mimi nitalipa wakidai
Hao mabishoo kawakataa kwa mangi kaweka koma pisi kapenda viwalo vya ilala boma
Baby unanifanya nikijiskia kufa, kufa, kufa unanirudisha uhai
[Chorus]
Ooh nana, nana mwaka huu watakoma mama eeh
Watasubiri sana, sana kuja kuachanaeeh
Unanifanya naimba (Onana nana na nana aah)
Mwenyewe eeh (Onana nana na nana aah)
Kichwani umenikaa (Onana nana na nana aah)
Na uwaambie eeh, eeh (Onana)
Moyoni umenijaa (Onana nana na nana aah)
Ooh na, na naa (Onana nana na nana aah)
Ooh na, na naah (Onana nana na nana aah)
Mmh, mmh, mmh (Onana)
[Outro]
Moyoni umenijaza eh
Written by: Baltazary Eligy Romani
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...