album cover
Haikatai
album cover
Haikatai was released on December 13, 2024 by Ziiki Media as a part of the album The Big One
ReleasedDecember 13, 2024
LabelZiiki Media
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Mmh, kanipa utam, kanipa asali
Kanipa chumvu-chumvi kanipa sukari
Ye ndo kanipa hamu, hisia ziko mbali
Twende kifudifudi ama chalichali
[Verse 2]
Ninaa
Cheka kidogo
Yani kwa uzuri huo wakuache tu uringe
Ati baby nunaa
Cheka kidogo my boo
Jamani kwa uzuri huo wakuache tu uvimbe
[PreChorus]
Eeh, ukijipodoa kama unakomoa
Weka mbali na watoto
Wala hau naga doa
Weka mbali na watoto
[PreChorus]
Unadamu ya nguo mama unakaa poa
Weka mbali na watoto
Kiboko ya fashion, kwa shamba unawaboa
Weka mbali na watoto
[Chorus]
Weka hapa ikatae
Filter ikatae
Apige picha haikatai
Ameumbika ooh wallahi
[Chorus]
Weka hapa ikatae
Filter ikatae
Apiga picha aikatae
Ameumbika ooh wallahi
[Verse 3]
Nywele kama msomali, muhindi kwa mbali
Chotara wa Mombasa, Tanga Zanzibar
Tutoke Dar Es Salaam, Mbea sio mbali
Twende kwa mama Chui akupe kibali
[Verse 4]
Baby si unaa
Kupaka mkorogoo
Mwanamke rangi
Glow mama ukavimbe
[Verse 5]
Nani amevununaa
Cheka kidogo my boo
Yani kwa uzuri huo wakuache tu uvimbe
[PreChorus]
Eeh, ukijipodoa kama unakomoa
Weka mbali na watoto
Mwenye ngozi laini, wala haunaga doa
Weka mbali na watoto
[PreChorus]
Unadamu ya nguo mama unakaa poa
Weka mbali na watoto
Kiboko ya fashion, kwa shamba unawaboa
Weka mbali na watoto
[Chorus]
Weka hapa ikatae
Filter ikatae
Apige picha haikatai
Ameumbika ooh wallahi
[Chorus]
Weka hapa ikatae
Filter ikatae
Apige picha aikatae
Ameumbika ooh wallahi
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa

Loading...