album cover
Miujiza
8,200
Christian & Gospel
Miujiza was released on January 15, 2025 by Independent as a part of the album Miujiza - Single
album cover
Release DateJanuary 15, 2025
LabelIndependent
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM70

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Treyzah
Treyzah
Choir
Clement Alex Mwamakula
Clement Alex Mwamakula
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Clement Alex Mwamakula
Clement Alex Mwamakula
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Traxx
Traxx
Producer, Mastering Engineer

Lyrics

INTRO.
Hapa nilipofika mi ni mungu tu
Sio Kwa ujanja wangu ila ni mungu tu
CHORUS x 2
Hapa nilipofika mi ni mungu tu
Naweza sema hii ni miujiza
Sio Kwa ujanja wangu ila ni mungu tu
Naweza sema hii ni miujiza
VERSE 1.
Ahsante God 🙏🏽
Sina hata cha kukulipa kamwe
Matopeni umenitoa ukanisafisha amen
Nilikatishwa tamaa
Njia yangu ukaisafisha wewe
Kwenye wengi ukanambia unaweza oooouh
BRIDGE.
Sikuzaliwa hili nifeli ndo maana
Sichoki acha nipambane
Kwenye kusaka noti huko mtaani
Kumenifanya nisimame
Na nani angenifuta haya machozi
Kama sio mungu pekee
Kufika level hii haikuwa rahisi
 am the winner am a winner aah
VERSE 2.
Nobody knows tomorrow
Usimkatie mtu tamaa
Never never
Asiyefaa atafaa
Ishi na watu vizuri ooouh
Hakuna anayejua kesho
Mpambanaji akatishwi tamaa
Never never
Ni kufosi usiku na mchana ooouh
Nishapitia shida dhiki njaa
Nyumbani no gesi wala jiko la mkaa
Wakusapoti nao walishanikataa
Ila haikufanya nipoteze hii furaha
Mungu anakupa kile kinachokufaa
Sa binadamu asikukatishe tamaa
Kama ukikosa Leo kesho sio far
Ongeza bidii uta-shine like a star
 
BRIDGE.
Sikuzaliwa hili nifeli ndo maana
Sichoki acha nipambane
Kwenye kusaka noti huko mtaani
Kumenifanya nisimame
Na nani angenifuta haya machozi
Kama sio mungu pekee
Kufika level hii haikuwa rahisi
am the winner am a winner aah
OUTRO.
Hapa nilipofika mi ni mungu tu
Naweza sema hii ni miujiza
Sio Kwa ujanja wangu ila ni mungu tu
Naweza sema hii ni miujiza
Written by: Clement Alex Mwamakula
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...