Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
GENIUSJINI X66
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Nilikukosea naomba unisamehe
Nishajionea kwamba sina lolote
Bila wewe siwezi endelea, naomba tuendelee
Yalikua matamu mapenzi yetu, yalikua super aah
[PreChorus]
Ex dua gani uliyoisoma ah
Kama ndo chamoto nimekiona, aku siwezi
Kujifanya niko sawa kumbe inachoma, inaumiza
Nimeshindwa kukaza, mwanzako natakaa
[Chorus]
Turudiane, mwenzio nataka
Turudiane, mwenzako nataka aah
Turudiane, mwenzio nataka
Turudiane, once again
[Verse 2]
Saa sita saa saba usiku, nitakupigia nna kitu
Nawe pokea japo tu, nikuongeleshe kakitu
Huku nje kila mtu wa mtu, nishakua single masiku
Basi nielewe kiduchu, tumalize hili beaf
[Refrain]
Nimeshindwa (Ku move on)
Nimeshindwa (Ku move on)
Hata siwezi (Ku move on)
Wanawezaje (Ku move on)
[Verse 3]
Ex dua gani uliyoisoma ah
Kama ndo chamoto nimekiona, aku siwezi
Kujifanya niko sawa kumbe inachoma, inaumiza
Nimeshindwa kukaza, mwanzako natakaa
[Chorus]
Turudiane, mwenzio nataka
Turudiane, mwenzako nataka aah
Turudiane, mwenzio nataka
Turudiane, once again
Written by: Sharif Saidi Juma