album cover

Mapepe

30Afro-Beat2023
album cover
Mapepe was released on December 15, 2023 by Edda Africa as a part of the album Mapepe - Single
ReleasedDecember 15, 2023
LabelEdda Africa
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Mapepe Mapee
Mapepe Mapee
Mapepe Mapee
Mapepe Mapee
Zanzibar Bwagamoyo Kaole
Maigizo nkakuigizia ya mzee Jangala
Msibani nikaja na ngoma mwanasesere
Suna hujamalizia nikaiba mswala
Bado hujajua
Bado hujajua
We ndo udhaifu wangu
Bado hujajua
Bado hujajua
We ndo tamu yangu
Aaaah
Mwenzako nimeumbwa na subira
Nimeumbwa na subira
Sijafundishwa papara
Na ooh baby usitumie hasira
Usitumie hasira
Maana hasira hasara
Mapepe
Kwako sina mapepe naona raha
Mapepe
Aaaahhhhh
Mapepe
Kwako sina mapepe naona raha
Mapepe
Rahaaaa Rahaaaa
Oyaaaaa
Ufundwe bara mpaka zenji, Nafunga na uso usongo
Yani tukitoka Tanga baby, Twende Ko Kongo
Funga mkwiji wazaramo, Uno la kibo bongo
Michezo ya kwenye bedi, kama paka cho chongo
Umenifunga umenishika Nimeshikika
Nikikuona ndani ya moyo Nafarijika
Naogopa wakuda wasikuchukue wasikuteke
Mwenzako nimeumbwa na subira
Nimeumbwa na subira
Sijafundishwa papara
Na ooh baby usitumie hasira
Usitumie hasira
Maana hasira hasara
Mapepe
Kwako sina mapepe naona raha
Mapepe
Aaaahhhhh
Mapepe
Kwako sina mapepe naona raha
Mapepe
Rahaaaa Rahaaaa
Mapepe Mapee
Mapepe Mapee
Mapepe Mapee
Written by: Maryedda Raphael

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...